Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi imevionya Vyombo vya Habari vinavyotangaza wagombea wamepita bila kupingwa Kinyume cha Sheria

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi imevionya Vyombo vya Habari vinavyotangaza wagombea wamepita bila kupingwa Kinyume cha Sheria

Hao Nec bora wakae kimya kwasababu wao ndiyo vinara wa huo ugoro unaoendelea.
 
Walichofanya Ndugai, Nape, Majaliwa na Abood ni uchafu na uhuni. Tumia sera kupata ridhaa ya wananchi na siyo uhuni ili uongoze wananchi.

Hawa wameshacheza faulo kama si kuenguliwa hapo wapewe makaripio makali kabisa kwa kuwahurumia.
 
Hao Nec bora wakae kimya kwasababu wao ndiyo vinara wa huo ugoro unaoendelea.
Hili tatizo haliwezi kuisha bila ya kupata tume huru ya uchaguzi.

Nec haina watumishi, watumishi inaowategemea ni makada wa cc. Ambao no hawa DED, MD na WEO.

Katika orodha hiyo hapo juu hakuna mtumishi wa Nec na hao ndio wapo majimboni na katani, ni vichekesho vitupu kwakweli.
 
Hii Tume jana jioni ilinifurahisha, ikimtetea hata mmoja wa wale waliotekwa wakati wanarudisha fomu na kunyang'anywa fomu zao basi nitapiga kampeni za kufa mtu za Tundu Lissu....huenda haki ikatendeka
 
Yahani mkurugenzi/ mtendaji aweza kufunga ofisi ili ngombea flani akose pa kukabidhi form, kisha muda wa kuwasilisha form unapita na mlengwa kutangazwa kuwa hana mpinzani!!!. Nec ipo kimya ikibariki uhuni huo. Very uncivilized.
 
Wako sawa tu, kwani tume watawafanya nini hao wakurugenzi waliohongwa ili watangaze mtu kapita bila kupingwa kwa kufuta wagombea wengine zaidi ya wanane kwa kisingizio cha kitoto cha kukosea kujaza fomu,ninavyojua mimi ccm ndiyo yenye wagombea wanao hitaji mbeleko kama hivi.
 
Wako sawa tu, kwani tume watawafanya nini hao wakurugenzi waliohonga ili watangaze mtu kapita bila kupingwa kwa kutafuta wagombea wengine zaidi ya wanane kwa kisingizio cha kitoto cha kukosea kujaza fomu,ninavyojua mimi ccm ndiyo yenye wagombea wanao hitaji mbeleko kama hivi.
 
Kwahiyo ktk jimbo moja kuna wagombea wa vyama 15 kwahiyo wote wamekosea kujaza fomu au wamechelewa kupeleka fomu aliyewahi ni mmoja tuu

Iko kauli inayo sema, Ni rahisi kumfikisha ng'ombe mtoni kwenye maji, lakini huwezi mlazimisha kunywa maji. Wagombea wa vyama vingine wamefikishwa mtoni, wamegoma kunywa maji. Labda muende mbele mjiulize kwa nini wagome?
 
Screenshot_20200828-101804.png
 
Back
Top Bottom