Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Walichofanya Ndugai, Nape, Majaliwa na Abood ni uchafu na uhuni. Tumia sera kupata ridhaa ya wananchi na siyo uhuni ili uongoze wananchi.
Hili tatizo haliwezi kuisha bila ya kupata tume huru ya uchaguzi.Hao Nec bora wakae kimya kwasababu wao ndiyo vinara wa huo ugoro unaoendelea.
Pigo kivipi bwashee?!
Kwahiyo ktk jimbo moja kuna wagombea wa vyama 15 kwahiyo wote wamekosea kujaza fomu au wamechelewa kupeleka fomu aliyewahi ni mmoja tuu