Tume ya Uchaguzi ni huru, hatuhitaji kufanya mabadiliko

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kwa sababu Mbowe alikuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa muda mrefu kwa kutegemea hiyo hiyo Tume anayosema siyo huru.

Kama Mbowe ameangukia pua Uchaguzi uliopita, siyo kosa la Tume kwa sababu Tume ilikwishathibitisha kwamba inaweza kufanya kazi efficiently.
 
Kama Mbowe ameangukia pua Uchsguzi uliopita,siyo kosa la Tume,kwa sababu Tume ilikwishathibitisha kwamba inaweza kufanya kazi efficiently.
Wewe ni chawa mpumbavu! Hata wenye chama chao wanafahamu hivyo!
 
Wewe ni KUPE mjinga usiyejitambua uko wapi ila mradi umenasa kwenye ngozi unafaidi mabilioni ya GAIDI Mbowe. Wewe una mchango gani CHADEMA zaidi ya kuwa KUPE
 
Kwa sababu Mbowe alikuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa muda mrefu kwa kutegemea hiyo hiyo Tume anayosema siyo huru.

Kama Mbowe ameangukia pua Uchaguzi uliopita, siyo kosa la Tume kwa sababu Tume ilikwishathibitisha kwamba inaweza kufanya kazi efficiently.
Ndio umejenga hoja au umeandika utumbo? Inaonekana kwenu wewe ndio kuchwa, saaa sipati picha hao wengine
 
Hivi huoni hata aibu?

Uhuru wa tume yenu hiyo ndio kuingiza mabunda ya kura kwenye sanduku?

SMH.
IMG_20201028_173703.jpg
 
Kwa sababu Mbowe alikuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa muda mrefu kwa kutegemea hiyo hiyo Tume anayosema siyo huru.

Kama Mbowe ameangukia pua Uchaguzi uliopita, siyo kosa la Tume kwa sababu Tume ilikwishathibitisha kwamba inaweza kufanya kazi efficiently.
Unachohofia nini kama iliyopo ikibadilishwa? Na bado, mtabwabwaja sana!!!!
 
Mwenye nchi mama Samia keshasema swala la tume huru ya uchaguzi linafanyiwa kazi.Wewe Ni Nani nchi hii hata
Ukatae.Ndio maana una Jina linaitwa poppy.
 
Achana na huyo mmb..wa, hajitambui. Anawaza uchawa tu
 
Hiyo ni Picha tuu. Unaweza dai lolote vile.

Hao ni walinzi wa masanduku ya Kura.

Walinzi wakashindwa kuzuia upuuzi kama huu?

You should be ashamed of yourself.
 
Unachohofia nini kama iliyopo ikibadilishwa? Na bado, mtabwabwaja sana!!!!
Mwenye hofu ni CHADEMA, mwenye mabilioni anataka aka 'retire' kuna ugumu wa kupata visusio CHADEMA bila dola
 
Kwa sababu Mbowe alikuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa muda mrefu kwa kutegemea hiyo hiyo Tume anayosema siyo huru.

Kama Mbowe ameangukia pua Uchaguzi uliopita, siyo kosa la Tume kwa sababu Tume ilikwishathibitisha kwamba inaweza kufanya kazi efficiently.
Shenzy kabisa unamaliza Oxygen ya Bure
 
Wewe ni KUPE mjinga usiyejitambua uko wapi ila mradi umenasa kwenye ngozi unafaidi mabilioni ya GAIDI Mbowe. Wewe una mchango gani CHADEMA zaidi ya kuwa KUPE
Mwehu wewe utaishia kulamba kinyesi cha hao wafuga chawa! Mjane wa shetani lazima apaniki kama wewe lakini ndiyo hivyo hatamuona tena na sasa hivi ni kuni za kuzimu!
 
Back
Top Bottom