Tume ya Uchaguzi ni huru, hatuhitaji kufanya mabadiliko

Mimi naona Kwa mawazo yako uko sahihi kabisa ila ukiacha kutumia valium chooni ufahamu wako utakuwa Bora zaidi
 
Angalia Kuku mwingine asiye na kichwa!
 
Tume hii hii ya... Wananchi hawataki braaa braaa?
 
Ama kwa kuwa uusehemu ya tume yenyewe lazima uisemee kama ni huru,ila ukweli ni kuwa,hata Jecha na Mafweza wa na kujua ukweli huu wa kukosa uhuru๐Ÿ˜‚
 
Tume ipo huru siku zote tatizo linakuja pale mgombea fulani unayempenda hajashinda ndio unaanza na vihoja kuwa Tume haipo huru lakini ni Tume hii hii ndio iliyowapeleka hao wapinzani bungeni miaka yote sasa kwa sababu hawajashinda ndio wanasema sio huru
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Your browser is not able to display this video.
 
WEWE kama nani? Acha kujipa mamlaka yasiyo yako ni UKICHAA
 

Time ipi Ni huru?. Unaelewa maana ya Time huru?. Kwa Sasa Tume ipo Dodoma Ila inafanya kazi na mawakala ambao ndio wakurugenzi wa halmashauri wanaoteuliwa na Mwenyekiti wa CCM .
 
Uliwahi kulazwa ktk wodi za wagonjwa wa akili?
Ulitoroka au uliruhusiwa?
halafu linaonekana ni tatizo la kurithi!
 
wewe kunguni wewe unafikiria kwa kutumia nini sijui!
 
Poor thread from a poor mind.
 

Unaelewa maana ya Tume Huru au huwa unasikia tu? Ebu andika angalao kwa mistari michache maana ya Tume Huru ya Uchaguzi.

Sidhani kama kiwango chako cha akili kimefikia uwezo wa kuleta mada. Jitahidi kusoma zaidi, na kujifunza kutoka kwa wenye uelewa, unaweza kufaudika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ