Tume ya Uchaguzi Uganda yamtangaza Museveni mshindi, Besigye apinga matokeo

30 years is too long to be president. Viongozi wa africa hawaridhiki kabisa. Yaani unakaa madarakani hadi watu wanakuombea kifo
 
Masikini lowasa,,
wanazidi kumkatisha tamaa tu.
 
Uchaguzi za Afrika hakuna demokrasia watawala kama CCM kwa Tanzania wameshajiandaa kutawala milele
 
Rais wa maisha museven, toka enzi za mwinyi hapa kwetu jamaa anawaendesha tu ,wameshindwa hata kumpindua tu ?
wapinzani wataingia madarakani kwa njia ya mspinduzi kwa nchi za Afrika
 
kma CCM walivyo4c
 
naona harufu ya CCM uganda...yaani trick zao za wizi zinafanana
sheria zilizowekwa na CCM kipindi cha uchaguz na uganda zimetumiwa same...
mfano kutokuingia na sim chumba cha kuhesabia nk....
nchi za africa hazna demokrasi..ni ukwasi2
TRIUMPH tumuombee apite kwa kishindo.............
 
30 years is too long to be president. Viongozi wa africa hawaridhiki kabisa. Yaani unakaa madarakani hadi watu wanakuombea kifo
wanaogopa kuachisa madaraka wanakuwa wameliibia sana taifa lao....
mfano fisiem
 
Tumo sana. Ni rais yupi Africa atathubutu kusimama kidedea ati alishinda kihalali mbali ya Zambia, Botswana, Nigeria & Ghana .
 
Yule aliyesema ataroast her clitoris if Museven wins again aandae flampeni!!
 
Sasa mbadala wa sisiemu ni nani? Hamna jinsi, tutawachagua hao hao sisiemu kama upinzani ndo kina Mbowe.
Kamwe SIPIGII KURA YANGU CHADEMA wakati Mbowe ni mwenyekiti, KAMWE SIPIGII CHADEMA!! Hii sio mimi tu, ni kwa watanzania wote walio wengi na wanaojitambua.
 
UPUMBAVUUU TU, WATU WANALIA LIA ALAFU WANAKOSA MSIMAMO KISHA WANAJIITA WAPINZANI ETI WANATAKA KUVITOA VYAMA TAWALA, hovyo kabisa! Kama upinzani wa Afrika ndo kama kona Mbowe, NASEMA HIVI, sahauni kushika dola.
Simple and clear, hutaki acha!
 
Naona m14/2 anazid kupanda asilimia tu
 
Its confirmed , there's no democracy in East Africa
 
UPUMBAVUUU TU, WATU WANALIA LIA ALAFU WANAKOSA MSIMAMO KISHA WANAJIITA WAPINZANI ETI WANATAKA KUVITOA VYAMA TAWALA, hovyo kabisa! Kama upinzani wa Afrika ndo kama kona Mbowe, NASEMA HIVI, sahauni kushika dola.
Simple and clear, hutaki acha!
Mbona mapovu yanakutoka sana, haya lia sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…