Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Amani kwanzaJambo la Msingi ni amani hakuna haja ya kuzingatia sana haki
Na penati tumenyimwa tena iliyokuwa haki yetu. Umeona madhara ya kuwafanya raia mandondocha na kuwakataza kudai haki zao?Msimlaumu refa, nafasi mbili za wazi staz imekosa
Zile nafasi mbili tulizopoteza ndiyo zimetugharimuMNAKOSA NAFASI ZA WAZI MNATAKA PENALTY
PUMBAVU KABISA SIE
MKUUUNa penati tumenyimwa tena iliyokuwa haki yetu. Umeona madhara ya kuwafanya raia mandondocha na kuwakataza kudai haki zao?
Unadhani kuwa kama aliyesukumwa ni mchezaji wa moroko unadhani benchi la ufundi la timu Yao na wachezaji wa ndani wangeruhusu mchezo kuendelea?
SANAAA ZA WAZI KABISAAA AKILI ZAO WANATAKA MSADA WA REFAAAAZile nafasi mbili tulizopoteza ndiyo zimetugharimu
Tumefundishwa kuwa eti kudai HAKI ni kuvuruga amani.KAWAKUTA OVYO WOTE UWANJANI