Tume ya uchaguzi ya CAF (Refarii)kainyima ushindi Taifa stars.

Tume ya uchaguzi ya CAF (Refarii)kainyima ushindi Taifa stars.

Screenshot_20260105-072641.jpg
 
Na penati tumenyimwa tena iliyokuwa haki yetu. Umeona madhara ya kuwafanya raia mandondocha na kuwakataza kudai haki zao?

Unadhani kuwa kama aliyesukumwa ni mchezaji wa moroko unadhani benchi la ufundi la timu Yao na wachezaji wa ndani wangeruhusu mchezo kuendelea?
mkuu kuna ktu unasahau kuwa wtz tumefunzwa kulinda na kutunza amani kwa wivu mkubwa.
 
Inashangaza sana kuona eti kuna wana ccm wanalalamikia kuhusu ile penati, kuwa eti stars wameonewa...

....inashangaza sana kwakweli, na wakati ilipaswa wao ndio wawe wa kwanza kumpongeza refa kwa kufanya maamuzi sahihi yanayoenda na utamaduni wao.
 
Angeenda mwambegele mzee wa kupika na kupakua matokeo
 
Back
Top Bottom