Hahahahaaaaa mpwa tukutane JULIANA CLUB WOII...AGIZA NAJA LIPAKazi iendeleeee 😂😂😂View attachment 3525293
Nadhani na haki ilitamalaki machoni kwetu.Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda walalamike kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati.
Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
Kabisa... Tumekerwa na Refarii Traore kama INNEC inavyotukera wakati wa chaguzi zetu.Hivi ndivyo maCCM hufanya, na huwa tunakereka hivi hivi😂😂😂
😀😄😃Time ya uchaguzi ilifanya nini siku ya uchaguzi. Tulia usizue taharuki.
Muuaji Makonda!Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda walalamike kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati.
Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
CR7, alishatoaga timu uwanjani baada ya goli lake kukataliwa, cptn wa staz halitakiwa awaongoze wanzie wawe na msimamo kuwa refa aende kwenye var la sivyo hawaendelei na mchezo, kwanza hawakuwa na la kupoteza.MKUUU
CQPT BWEGE NA WENZIE
PALE WANGEGOMEA HAKUNA MECHI KUENDELEQ ABGEENDA VAR
KAWAKUTA OVYO WOTE UWANJANI
Bora walalamike wengine lakini siyo huyo bashiteAuae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati.
Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.