Tume ya Uchaguzi ya Ivory Coast imetangaza Alassane Outtara kama mshindi wa Uchaguzi, aliyepata ushindi wa kishindo wa asilimia 94.27 ya kura

Tume ya Uchaguzi ya Ivory Coast imetangaza Alassane Outtara kama mshindi wa Uchaguzi, aliyepata ushindi wa kishindo wa asilimia 94.27 ya kura

Alasane Watara alikua kiongozi wa Upinzani wakati ule Laurent Ghagbo akiwa rais, Upinzani ulikua na nguvu kiasi cha Laurent kutumia nguvu za jeshi ili kubaki madarakani lakini hata hivyo ambalo jeshi lilijirudi likaunga mkono vuguvugu lililokua linaendelea upande wa upinzani pamoja vikosi vya kigeni ikiwemo Ufaransa na nato Waandamanaji walimtaka Loura aachie ngazi sababu katika uchaguzi uliofanyika 2010 Mpinzani wake wa karibu ndie aliekua ameshinda kiti cha Rais, Vikosi vya kigenu vilifanikiwa kumtia nguvuni Laurent Ghabo na hatimaye the Hague, Kama Alasan Watara atashuza shingo basi anaweza akavuna yale aliyavuna mtangulizi wake.
 
Back
Top Bottom