usichokijua ni kwamba IEBC imesema hayo matokeo yanayojumlishwa hawahusiki nayo. Sasa tusubiri mkeka wa TumeAmbacho huelewi ni kwamba,kila chombo cha habari kina maripota wake kwenye maeneo yote, kwahiyo taarifa za matokeo ya awali haziwezi kulingana. Ila matokeo ya jumla yatalingana,shida unaonekana umemzoea mfumo mfu wa CCM kufanya uhesabuji wa kura kuwa siri.
Kama kweli Tanzania inapenda democracy,ijifunze kutoka Kenya,no janja janjaa.
Masisiemu hayawezi kukuelewa mkuu, yana akili ndogo kama uchi wa sisimizi.Matokeo lazima yapishane kwa sasa maana kila chombo kina ma reporter kutoka maeneo tofauti tofauti ambako takwimu nazo ziko tofauti tofauti, ila yale ya mwisho yanaweza kulandana kwa kiasi kikubwa.
But remember supporters believes everything good or positive the media says about their candidate no less no more.HAKUNA SHIDA, FINAL SAY NI IEBC. MEDIA ZOTE ZINASISITIZA KUWA FINAL RESULTS NI IEBC, THEY ARE GIVING A WARNING TO THEIR VIEWERS, TENA ZOTE
concern yangu ni kwamba team ya odinga na team Ruto wanajengewe mazingira na media kwmaba kila mtu anashinda. sasa matokeo ya IEBC ambayo ni final.Matokeo lazima yapishane kwa sasa maana kila chombo kina ma reporter kutoka maeneo tofauti tofauti ambako takwimu nazo ziko tofauti tofauti, ila yale ya mwisho yanaweza kulandana kwa kiasi kikubwa.
AFADHALI UMELIAMBIA UKWELIAmbacho huelewi ni kwamba,kila chombo cha habari kina maripota wake kwenye maeneo yote, kwahiyo taarifa za matokeo ya awali haziwezi kulingana. Ila matokeo ya jumla yatalingana,shida unaonekana umemzoea mfumo mfu wa CCM kufanya uhesabuji wa kura kuwa siri.
Kama kweli Tanzania inapenda democracy,ijifunze kutoka Kenya,no janja janjaa.
My point is, they are being warned not to bank on these results! All media insist that the reliable, final and conxclusive results are from IEBC. sasa kama jitu halitaki hilo, basi mwache afanye anavyofikiria kama mpenzi wake hatatangazwa mshindi!But remember supporters believes everything good or positive the media says about their candidate no less no more.
kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.
kwenye kuwaacha hapo ndo vurugu hutokeaMy point is, they are being warned not to bank on these results! All media insist that the reliable, final and conxclusive results are from IEBC. sasa kama jitu halitaki hilo, basi mwache afanye anavyofikiria kama mpenzi wake hatatangazwa mshindi!
sio jambo jepesi sana mkuusasa kama jitu halitaki hilo, basi mwache afanye anavyofikiria kama mpenzi wake hatatangazwa mshindi!
wasiwasi ni kwamba media zinajengea watu kuamini juu ya jambo...sasa ikiwa vinginevyo itakuwa changamoto.Mkuu mbona una mashaka sana,,,,Kwanini usiwaze Positive...??? Kwanini ufikirie kuwa Tume itatoa matokeo tofauti...
Nini hasa reasoning yako behind huo wasiwasi..???
najua kwa watu unreasonable na reactionaries, wataingia barabarani! kama haki imetendeka, sioni kwanini ufanye fujo. Consequences anazijua Mungu!kwenye kuwaacha hapo ndo vurugu hutokea
sio jambo jepesi sana mkuu
yaani haya mataahira ya ccm ni mavi kabisaHabari wakuu!
Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na kutangaza matokeo ya ugombea wa Urais.
Kwa kifupi mchezo uliofanywa na IEBC unaonekana kupongezwa ila ni wa hatari kiusalama kuliko inavyodhaniwa kwani kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.
Ni kweli Uhuru wa habari ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, hili jambo sio la kuliombea nchini kikubwa ni kuwaombea Mungu matokeo ya Tume yasiwe tofauti sana na matokeo yanayowasilishwa kinyume na hapo majirani watachapana soon.
ANGALIA CHINI TOFAUTI YA TAKWIMU BAINA YA VYOMBO VYA HABARI.
NB: HADI MATOKEO YANAYOENDELEA HAYAHUSISHI KURA ZA MAGEREZANI NA BALOZI MBALIMBALI.
View attachment 2320745View attachment 2320746View attachment 2320747
kuwa na akiba ya maneno kijana......yaani haya mataahira ya ccm ni mavi kabisa
hii ndio justification ya kuzuia freedom of speech?
bure kabisa
ndio mnapewa somo,na sisi watanzania tunataka hivi hivi....mpende msipende....uhuru wa uchaguzi mtajijua majambazi nyie
Sasa hapo unaposema mtu amesha onywa kuwa matokeo ya mwisho yatatolewa na tume. Na tume ikatangaza vinginevyo. Kenya is much politically volatile state. Hivyo Tafadhali ni muhimu. Vinginevyo Umenena vyema.My point is, they are being warned not to bank on these results! All media insist that the reliable, final and conxclusive results are from IEBC. sasa kama jitu halitaki hilo, basi mwache afanye anavyofikiria kama mpenzi wake hatatangazwa mshindi!