Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
dont push your scaring tactics on mekuwa na akiba ya maneno kijana......
weka akiba wewe,sio mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dont push your scaring tactics on mekuwa na akiba ya maneno kijana......
Unadhani kuna chama cha m***ya kuleHabari wakuu!
Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na kutangaza matokeo ya ugombea wa Urais.
Kwa kifupi mchezo uliofanywa na IEBC unaonekana kupongezwa ila ni wa hatari kiusalama kuliko inavyodhaniwa kwani kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.
Ni kweli Uhuru wa habari ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, hili jambo sio la kuliombea nchini kikubwa ni kuwaombea Mungu matokeo ya Tume yasiwe tofauti sana na matokeo yanayowasilishwa kinyume na hapo majirani watachapana soon.
ANGALIA CHINI TOFAUTI YA TAKWIMU BAINA YA VYOMBO VYA HABARI.
NB: HADI MATOKEO YANAYOENDELEA HAYAHUSISHI KURA ZA MAGEREZANI NA BALOZI MBALIMBALI.
View attachment 2320745View attachment 2320746View attachment 2320747
Yeye ametoa angalizo kwamba Kuna weza kutokea matatizo Kama kutakuwepo na tofauti ya kile kilichoripotiwa na vyombo vya habari na kile kilichoripotiwa na tume ya uchaguzi.Ambacho huelewi ni kwamba,kila chombo cha habari kina maripota wake kwenye maeneo yote, kwahiyo taarifa za matokeo ya awali haziwezi kulingana. Ila matokeo ya jumla yatalingana,shida unaonekana umemzoea mfumo mfu wa CCM kufanya uhesabuji wa kura kuwa siri.
Kama kweli Tanzania inapenda democracy,ijifunze kutoka Kenya,no janja janjaa.
Wakenya akili wazitoe wapi?, Utakumbuka 2007 walivyochomana moto makanisani, hizo ndizo akili unataka tuwaige?Mkuu nadhani ni kwa muda tofauti kura zina tofautiana kuna wakati Ruto anaongoza kuna kipindi Raila anaongoza sasa wewe ulileta screenshot ya KTN wakati Raila alipoongoza ni KBC ukaona Ruto anaongoza kumbe ni wakati na katika majimbo jofauti.
Wakenya wana akili hawawezi kuchanganywa na hilo labda kwa nchi ya wajinga Tanzania
Hii ndio point bora kuliko zote. Kila kituo kinarusha kutokana na alichopakua kutoka IEBC ambao ndio source ya kila kitu na sio kwamba vituo vya Broadcasting vina mawakala kwenye polling stationsKitu kimoja watu wasichojua ni kwamba wote wanachukua data kutoka chanzo kimoja IEBC website. Wanacho tofautiana kati ya chombo kimoja na kingine ni kupost more data za strong hold ya chama fulani ambapo kitamfanya mgombea wake kuonekana anaongoza.
Lakini ukweli ni kwamba hawatafofautiani na mwisho wote watafikia same outcome.
Pili, huu unaweza kuwa mkakati wa National security organs kila upande uwe na winning hopes kusiwe na vurugu ili kwenye last outcome ambapo tume ndio itatangaza pasi kuegemea upande.
Kila kituo kinakua na watu wao huko vituoni, ambao hukusanya matokeo yalitongazwa pale kituoni na kutangaza Moja kwa Moja. Wawakilishi na wasimamizi wa tume ya uchaguzi, wao ndio hutuma Moja kwa Moja Nairobi kwa ofisi za tume.Hii ndio point bora kuliko zote. Kila kituo kinarusha kutokana na alichopakua kutoka IEBC ambao ndio source ya kila kitu na sio kwamba vituo vya Broadcasting vina mawakala kwenye polling stations
Kwani chanzo chao cha matokeo hayo si kimoja - IEBC. Je, huo utofauti sio kutokana na muda wa kutangaza matokeo hayo?Habari wakuu!
Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na kutangaza matokeo ya ugombea wa Urais.
Kwa kifupi mchezo uliofanywa na IEBC unaonekana kupongezwa ila ni wa hatari kiusalama kuliko inavyodhaniwa kwani kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.
Ni kweli Uhuru wa habari ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, hili jambo sio la kuliombea nchini kikubwa ni kuwaombea Mungu matokeo ya Tume yasiwe tofauti sana na matokeo yanayowasilishwa kinyume na hapo majirani watachapana soon.
ANGALIA CHINI TOFAUTI YA TAKWIMU BAINA YA VYOMBO VYA HABARI.
NB: HADI MATOKEO YANAYOENDELEA HAYAHUSISHI KURA ZA MAGEREZANI NA BALOZI MBALIMBALI.
View attachment 2320745View attachment 2320746View attachment 2320747
Ila CCM ni janga la kidunia kumbe? Mimi nilijua mnaleta shida Tanzania pekee kumbe na Afrika nzima nyie ni virusi?Habari wakuu!
Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na kutangaza matokeo ya ugombea wa Urais.
Kwa kifupi mchezo uliofanywa na IEBC unaonekana kupongezwa ila ni wa hatari kiusalama kuliko inavyodhaniwa kwani kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.
Ni kweli Uhuru wa habari ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, hili jambo sio la kuliombea nchini kikubwa ni kuwaombea Mungu matokeo ya Tume yasiwe tofauti sana na matokeo yanayowasilishwa kinyume na hapo majirani watachapana soon.
ANGALIA CHINI TOFAUTI YA TAKWIMU BAINA YA VYOMBO VYA HABARI.
NB: HADI MATOKEO YANAYOENDELEA HAYAHUSISHI KURA ZA MAGEREZANI NA BALOZI MBALIMBALI.
View attachment 2320745View attachment 2320746View attachment 2320747
😂😂😂😂 Aisee nimecheka!Akili za kiwizi tu. Sijui watu wengine mlizaliwaje nyinyi
[emoji1787]Huenda nae huyu Ni uvccm Think Tank pale Lumumba