Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

Kenya 2022 General Election
[emoji16][emoji16][emoji16]kila baada ya dakika 5 tunapata updates wametisha sana
 
Mmezoea uchaguzi wa "kaa mita 200" na mabomu ya machozi 🤣🤣🤣
 
Yaani wewe msukule wa ccm una akili kuliko time ya Uchaguzi wa Kenya. Hivi kwenye Uchaguzi kunahitajika usiri ili watu waibe kura. Kwa wenzetu wametuvua nguo kuona walikofika katika kiwango Cha democracy. Katika Uchaguzi huu.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hawa hapa wameshaanza kutoa ripoti zenye kutofautiana.


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Naona kama media wameacha kuonyesha ule mchuano wa urais. Wamepigwa stop? Saa nne na dakika 47 nimeangalia.
 
Umeleta mada ya kipuuzi kweli kweli, unataka wawe mazuzu kama matanzania, bure kabisa!!
 
Umeleta mada ya kipuuzi kweli kweli, unataka wawe mazuzu kama matanzania, bure kabisa!!

tabia ya kujumuisha watu kwenye lawama ni dalili ya ugonjwa wa afya ya akili,unasababishwa na kukosa chakula kamili na cha kutosha.
 
Huna akili wewe kichwa imebeba samaki, so far matokeo yote yako kwa website yao na mwisho jumla kuu lazima ifanane
 
The information is on public domain hata wewe unaweza ingia kwa website ya IEBC uanze kujipigia hesabu. Ukimaliza kupiga hesabu na upate ina tofauti na IEBC, unapeleka kesi mahakamani
 
Kwanza umecopy hii habari twitter,pili kwa akili yako ilivyo ndogo bila kuichambua ukaileta huku uchukue point lakini umeandika utumbo.

Kenya ni mfano wa kuigwa katika hili hata kama kuna dosari ndogo ndogo zitatokea.
Labda huko twitter umekopiwa kutoka kwangu
 
Back
Top Bottom