Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

Kenya 2022 General Election
Watz wameshapagawa na neno UWAZI na akili imegotea hapo.😁.

Kawaida werevu huwa na hofu itokanayo na udadisi huku wajinga wakijiamini kupitiliza bila hata kuhoji.
 
Unadhani kuna chama cha m***ya kule
 
Hizi ndio akili halisi za Mtanzania, umeshindwa hata kupata muda husikiliza, wameliongealea sana na Wakenya wameelewa vizur.
Tatizo lako umejawa na ile hulka ya wizi wa kura wa Tanzania na kutojitambua, mmezoea kuzimiwa mpaka mitandao na ndio mnachoona ni sahihi
 
Yeye ametoa angalizo kwamba Kuna weza kutokea matatizo Kama kutakuwepo na tofauti ya kile kilichoripotiwa na vyombo vya habari na kile kilichoripotiwa na tume ya uchaguzi.

Kwani nani anao uhakika kwamba hivyo vyombo vya habari haviwezi kununuliwa na baadhi ya wagombea?. Ikumbukwe kwamba Kenya ni nchi inayonuka rushwa hapa Afrika, Kama watumishi wa tume ambao hulipwa mishahara minono lakini hamuwaamini, vipi hao waandishi wa habari mnawapa Imani ya kutopindisha ukweli?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya akili wazitoe wapi?, Utakumbuka 2007 walivyochomana moto makanisani, hizo ndizo akili unataka tuwaige?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio point bora kuliko zote. Kila kituo kinarusha kutokana na alichopakua kutoka IEBC ambao ndio source ya kila kitu na sio kwamba vituo vya Broadcasting vina mawakala kwenye polling stations
 
Hii ndio point bora kuliko zote. Kila kituo kinarusha kutokana na alichopakua kutoka IEBC ambao ndio source ya kila kitu na sio kwamba vituo vya Broadcasting vina mawakala kwenye polling stations
Kila kituo kinakua na watu wao huko vituoni, ambao hukusanya matokeo yalitongazwa pale kituoni na kutangaza Moja kwa Moja. Wawakilishi na wasimamizi wa tume ya uchaguzi, wao ndio hutuma Moja kwa Moja Nairobi kwa ofisi za tume.

Wasiwasi ni pale ambapo baadhi ya vyombo vya habari vyenye Nia mbaya, wanaweza kutengeneza matokeo Yao na kutangaza kwa Nia ya kumsaidia mgombea wao wanaye muunga mkono pale inapo onekana kwamba anaelekea kushindwa. Kumbuka Kenya ni nchi ya kikabila, hata vyombo vingi vya habari Kenya vimegawanyika kwa misingi ya ukabila.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwani chanzo chao cha matokeo hayo si kimoja - IEBC. Je, huo utofauti sio kutokana na muda wa kutangaza matokeo hayo?
Wanachokifanya IEBC ni kuepusha machafuko, na si vinginevyo.
Hili ni jambo la ajabu kwa wale wenye chama kinachowekaga kituo cha tallying na kukataza vyama vingine kufanya hivyo kwenye nchi ile ya Danganyika!
 
Source si moja? Labda hivyo vyombo vya habari viwe na vilaza wa hesabu, wasiojua hesabu za kujumlisha na kutoa.
 
Kwanini matokeo yapishane? Wewe unawaza kiwiziwizi kama kinachotangazwa ndo chenyewe kura haziwezi tofautiana.
 
Mpaka sasa kuna mijitu haiamini kama CCM waliiba kura na yanaona nisawa tu kuwa na wabunge hewa amnao hatukuwachagua yapo bungeni yanajaza matumbo uku mfumko wa bei unatishia usalama wa Raia
 
Ila CCM ni janga la kidunia kumbe? Mimi nilijua mnaleta shida Tanzania pekee kumbe na Afrika nzima nyie ni virusi?
 
Hayo matokeo yanatoka IEBC,unachoona hapo ni kwamba kuna utofauti wa speed ya wanaojumlisha huko kwenye vyombo vya habari,lakini mwisho wa siku,matokeo yatakua na convergence ileile.Hakuna mjinga ambaye anaweza akareact kwa kuona dosari ya chombo kimoja kukosea,halafu tambua kuna teknolojia,kukosea ni ngumu kwa vyombo vyote.Utofauti unaoendelea,usikutishe,kila chombo kina uwezo wa kuamua waanzie kuingiza za sehemu gani,wamalizie za sehemu gani,mwisho wa siku uniformity inatokea kwenye majibu ya mwisho.
 
Pale wanaCCM wanapokua na wasiwasi na transparency inayoendelea Kenya.

Vyombo vya habari vimefafanua zaidi ya mara kibao on kwanini wanatofautiana. Kama huelewi then hilo ni tatizo lako binafsi.

Tabia zenu za kiCCM za kujifungia na kuhesabu kura, kujitangaza washindi kilisababisha baada ya matokeo 2020 mkapoa kama maji as if mmefiwa, hatukuona shangwe wala nderemo, nyuso zenu zilijaa aibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…