MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 384
- 418
Ukisikia usanii ndio huu.
Katika andiko hilo sijaona hoja ya msingi ya wasimamizi wa uchaguzi kupiga kura siku ya kwanza na wananchi wengine kupiga kura siku ya pili.
Mwenyekiti angetueleza katika uchaguzi wa mwaka 2015 kama kuna tatizo lilitokea labda kwa wasimamizi wa uchaguzi kushindwa kupiga kura.
Nawaza tu baada ya hizo kura zitakazopigwa siku ya kwanza, zitahifadhiwa wapi, nani watazilinda kama sio kuandaa mazingira ya hovyo