Magufuli asiapishwe kwa kura za upande mmoja, uchaguzi wote urudiwe chini ya tume huru , sio tumeccm.
Hakuathiri ukiwa Bara ila ukiwa Visiwani Athari ni kubwa mno si unaona mwenyewe!kujitangazia ushindi kunaathiri vipi matokeo ?
hii kali !
maagizo ya DODOMA hayo !
Hazifutwi.Kwa hiyo kura zote za urais wa JMT kutoka Zanzibar zimefutwa?
Mimi ni CCM ila siungi mkono hili
Acha tu Katavi, sijui tutaficha wapi uso sisi!!!
Hata matokeo ya urais wa bara hayana maana basi
Hii balaa sasa. CUF Zanzibar ya Maalim Seif na CCM Bara ya Pombe Magufuli itakuwaje? Hi ndio changamoto inaikabili Serikali ya JMK namna ya uendeshaji wa Serikali ya Muungano.