kiko2
Member
- Sep 29, 2015
- 90
- 48
Magufuli asiapishwe kwa kura za upande mmoja, uchaguzi wote urudiwe chini ya tume huru , sio tumeccm.
Hata hivo sijui wataitafsiri vipi sheria. Ila kama waliwezaipindisha ile ya mita 200 ikawapendelea, ni hii ya uchaguzi watashindwa? Mimi siwazi tena, siombi tena Mungu aamue atuache ndani ya Babylon hadi hiyo miaka 70 itapoisha. Jina lake litukuzwe tu, Amen Amen!!