Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Magufuli asiapishwe kwa kura za upande mmoja, uchaguzi wote urudiwe chini ya tume huru , sio tumeccm.

Hata hivo sijui wataitafsiri vipi sheria. Ila kama waliwezaipindisha ile ya mita 200 ikawapendelea, ni hii ya uchaguzi watashindwa? Mimi siwazi tena, siombi tena Mungu aamue atuache ndani ya Babylon hadi hiyo miaka 70 itapoisha. Jina lake litukuzwe tu, Amen Amen!!
 
Mimi naamini kuwa siku zote mpango wa MUNGU lazima utimie.Kama Mungu akikusudia kitu mwanadamu akazuia, GOD is never out of options. Kamwe siku zote MUNGU hashindwi na binadamu. Our is such a great and powerful GOD, he controls the whole universe in the palm of HIS hands. I would be very scared to battle it out against GOD, because at the end GOD will prevail and it may severely cost me. I'm scared of GOD, and i would compete with HIM.
 
kujitangazia ushindi kunaathiri vipi matokeo ?
hii kali !
maagizo ya DODOMA hayo !
Hakuathiri ukiwa Bara ila ukiwa Visiwani Athari ni kubwa mno si unaona mwenyewe!
 
Habari hii imenitoa machozi. Imefika muda hakuna haja ya uchaguzi. JK na Mkapa ndio maadui wakubwa wa demokrasia nchini.
 
Sasa kama uchaguzi Zanzibar ulikuwa na kasoro nyingi, je kura za Zanzibar kwa rais wa Muungano nazo si ni batili? Hivyo Matokeo pia yaliyotangazwa na NEC ni batili.
 
Kazi ndio kwanza inaanza, nchi inaingizwa kwenye matatizo makubwa sana na migogoro ya kisiasa isiyokuwa na msingi
 
Hii balaa sasa. CUF Zanzibar ya Maalim Seif na CCM Bara ya Pombe Magufuli itakuwaje? Hi ndio changamoto inaikabili Serikali ya JMK namna ya uendeshaji wa Serikali ya Muungano.

Hujui kinachoendelea! Hivi bado unaamini kuwa Magufuli kashinda?? Ngoja uone episode inayofuata
 
Maalim Seif anazidi kujidhihirishia mbele ya wazanzibari, umma na dunia kuwa ha fit kuwa Rais wa Zanzibar kwa jinsi anavyofanya mambo ya ajabu....

wewe mtu mzima unayejua taratibu unajitangaza mshindi si kutafuta ugomvi tu....


mbaya zaidi nawasikitikia wafuasi wake...
 
Nafikiri Tanzania mabadiliko ni mpaka CCM wachoke wenyewe na waseme haya chukueni,...kwa mwendo huu ni bora Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema akiangamize hiki kizazi cha nyoka.
 
Back
Top Bottom