Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

tume-nec futeni matokeo ya urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania.

Simple logic

kama tume ya kule zanzibar-zec inakiri kuwa uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi,
means hata matokeo ya ya urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania inabidi yafutwe pia

kwa sababu

1. Kati ya lowassa/magufuli mmoja wao angekuwa rasi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambapo ndani ya kura ambazo wangepata zipo kura za kule zanzibar, hivyo kama zec imefuta matokeo kule means hata kura za urasi za jamuhuri ya muungano wa tanzania zifutwe pia.

2. Mpigaji kura wa zanzibar alipewa kura tano (watu wa kuwachagua), zikiwemo za rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, hivyo alipiga kura tano, hivyo ni ngumu kusema kuwa hizo kasoro zilimuathiri shein na maalimu seifu tuna siyo kura za raisi wa jamuhuri ya muuungano wa tanzania ( lowasa na magufuli).

NI NGUMU SANA KUPROOVE KWAMBA KURA ZA URAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HAZIJAATHIRIKA NA HIZO SABABU ZA NEC. IKIWA MPIGA KURA NI YULE YULE, KITUO NI KILE KILE, MSIMAMIZI WA KITUO NI YULE YULE NA MAZINGIRA NI YALE YALE.

tume ifute huu uchaguzi kwa kura za uraisi

kuendelea kulazimisha hiii ni kupoteza muda na pesa bure kabisa, na huenda machafuko yakazuka,

kasoro za wazi ziko nyingi sana
bumbuli-tanga idadi ya wapiga kura wote ni tofauti na kula zote zinazoonekana katika ubunge na urais.

Lakini pia kuna sehemu nyingi sana asilimia za matokeo hazimatch na
100% ya kura zote

poleni nec-mmeponzwa na marombe jr... Poleni, na mkicheza mnaliingiza taifa katika machafuko.
 
hakuna kitu kama hicho jecha ovyoooo,upumbavu...hapa ni kwenda mistuni tu.
 

Kwa hiyo na kura za uraisi wa JMT kutoka ZNZ ambazo zilizosomwa na NEC inakuaje?
 
Last edited by a moderator:
kufuatia kufutwa kwa uchaguzi zanzbar, matokeo ya bara yatakuwa batili kwa kuwa kura zote za muungano zanzbar ni batili.

tusubil ngoma ichezwe zanzbar ndo tukate mauno baada ya siku 90
 
Uchanguzi urudiwe wasimamizi watoke Urus waje wasimamie uchanguzi Tanzania bara na Zanzibar! Hamna namna nyingne tena
 
Maelezo yako yamejikita kisheria au umeongea kwa mihemko tu? Naomba maelezo ya kisheria au kikatiba..pls!!
 
Ndugu zangu ningependa kufahamu kisheria je ni NEC au ZEC inayosimamia upigaji kura Zanzibar kwa rais wa muungano sababu Zec imeshatengua matokeo ya urais wa Zanzibar je vipi kuhusu kura za rais wa muungano iwapo Zec pia ndio wasimamizi?
 
Humu wachieni wa zenj wajadili kwa upana zaidi coz uelewa wao ni next level!
 
Jamaa alipiga cross wamejichanganya wenyewe safi sana maalim seif .... Ulizoea kulialia uchaguzi si wa haki na uhuru... Umetoa int za matokeo leo ccm zanzibar na zzec wanalia uchaguzi ulikuwa na kasoro na umejitangazia ushindi ....
 
Matokeo yaliyofutwa ni URAISI WA ZANZIBAR na WAWAKILISHI.

Matatizo ni KARATASI ZA URAISI ZANZIBAR sio BARA!!! ..hivi jamani watu wa UKAWA kwanini mnataka kuleta vurugu ??

kuna sababu tisa zimetajwa hapo juu....Ina maana hizo haziifanyi Uchaguzi wa Rais wa Muungano upande wa Zanzibar kutokuwa batili??Kuwa mkweli usiegemee upande...
 
Kama uchaguzi ukirudiwa basi kwa Tume ile. Tunataka Uchaguzi ambao utasimamiwa na UN na serikali hii ya majizi.
 
Matokeo yaliyofutwa ni URAISI WA ZANZIBAR na WAWAKILISHI.

Matatizo ni KARATASI ZA URAISI ZANZIBAR sio BARA!!! ..hivi jamani watu wa UKAWA kwanini mnataka kuleta vurugu ??


uchaguzi zanzibar haukuwa huru na haki na kuna kura za muungano kwenye same ballot boxes, so tunaamini kura za bara pia hazikusimamiwa kwa uhuru na haki.
either raisi wa muungano asitangazwe mpaka zenji warudie au na huku matokeo yafutwe.
 
Katiba inasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atachahuliwa na wananchi wa pande zote mbili. Kama kura za Zanzibar zimefutwa ina maana hakuchaguliwa na wazanzibar basi hatokuwa rais wa JMT.
 
Yani CCM wanaona wenzao mazuzu wakishindwa wfute matokeo hapo Hakuna wa kukubali tenants matokeo yoyote
 
Sio mahakama yoyote ya tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…