Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Vp kuhusa Tanzania bara waliopia marais na bara utafutwa uchaguzi naomba kuelewa walio mchagua magufuli au Lowassa itakuaje mwenye uelewa anieleweshe Ahsanten
 
kujitangazia ushindi kunaathiri vipi matokeo ?
hii kali !
maagizo ya DODOMA hayo !

kujitangazia ushindi kunasababisha kura zilizokwishapigwa zifutike. kwani hujui hilo mkuu? CCM oyeeeeee!!
 
Kivipi wakati walipiga pia kura za rais wa bara? Wafute zote. Kwani bara ulikuwa sawa?
 


Mwanasheria wa CCM sio? Unajarajia nini hapo?
 
Zilizofutwa ni Matokeo Ya Urais na Sio Ya Wabunge, madiwani wala Wawakilishi. Kwa hiyo Kura za Ubunge ziko pale pale

Haya tumekusikia mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar.
 
...... .....
.

hhahaha kilaza kwahiyo huyu raisi wa wa bara atakuwa wa Tanganyika peke yake
Mkuu matokeo ysliyofutwa ni ya serikali ya mapinduzi na sii ya muungano.
Tambua kwamba wazanzibar wamechagua rais wa Zanzibar na rais wa muungano.
Na kasoro zipo kwenye uchaguzi wa rais wa Zanzibar na sii rais wa muungano.
 
Je ni kweli!

Leo nimebishana na watu hapa kuwa CUF hawapewi nchi ya Zanzibar na watu wakanipinga. Mimi mwenyewe ni CUF lakini najua siasa ya ZNZ, kwasababu ninaishi ZNZ maisha yangu yote haya. Nyinyi ndugu zetu wa Bara hamuijui Zanzibar. CUF haiwezi kushinda ZNZ hata kwa dakika moja. Aminini maneno yangu na baadae mtuachie wenyewe siasa yetu ya Zanzibar, kwani nyinyi hamtoifahamu milele!
 

Zimefutwa Kura Za Urais tu na Sio mengine
 
Huyo mwanasheria atakuwa ni kanjanja aliyekubuhu.
mkuu Tundu Lissu na kibatala peter njoo mkamate
huyu kibaka anayevamia fani yenu na kuinajisi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…