Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kujitangazia ushindi kunaathiri vipi matokeo ?
hii kali !
maagizo ya DODOMA hayo !
Wakuu.
Hapa kilichofanyika ni kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar na sii wa muungano.
Hii ni kwa majibu wa mmoja wa wanasheria niliyempigia simu na kumuuliza.
So uchaguzi wa Zanzibar (serikali) ya mapinduzi hauhathiri matokeo ya kura za muungano.
Zilizofutwa ni Matokeo Ya Urais na Sio Ya Wabunge, madiwani wala Wawakilishi. Kwa hiyo Kura za Ubunge ziko pale pale
Mkuu matokeo ysliyofutwa ni ya serikali ya mapinduzi na sii ya muungano....... .....
.
hhahaha kilaza kwahiyo huyu raisi wa wa bara atakuwa wa Tanganyika peke yake
Kwa hiyo sheria za uchaguzi ZEC ni tofauti na NEC?
Je ni kweli!
Sheria ya kufuta uchaguzi na muda was kurudia katiba inasemaje?
Je waangalizi wa kimataifa kwakua wao ndio watoaji wa pesa zote zinazofanyia uchaguzi sheria zao zikoje?
Sheria ya Tume MTU akijitangaza haisemi kuwa uchaguzi urudiwe Bali kuna adhabu zake ambazo zimeainishwa.
Na kama hela hawana waombe msaada na pia kama wanajua wametenda haki wafute matokeo turudie uchaguzi
kujitangazia ushindi kunasababisha kura zilizokwishapigwa zifutike. kwani hujui hilo mkuu? CCM oyeeeeee!!