Uhuni huu wa ZEC haukubaliki kamwe!!!!
Hapo patamuuuuuuu! Wafue na huku bara
Are this people serious??
Hili ndio tatizo lakujiona uko juu ya kila kitu. Tanzania demokrasia ni maneno tu.next to impossible....Tanzania nakupenda
Angekaa kimya wangemtangaza shein.maalim seiph angejua angekaa kimya tu!sasa mdomo wake umemponza!shein alishakubali kushindwa
umefutwa, ni baada ya Maalim Seifu kujitangazia ushindi, bila kufuata utaratibu
kwani sheria ya uchaguzi ZNZ ndivyo inavyosema? nyoka hana miguu tusiitafute labda jongooumefutwa, ni baada ya Maalim Seifu kujitangazia ushindi, bila kufuata utaratibu
Katika hali ya kushtua Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) imetangaza kuyafuta Matokeo ya urais wa Zanzibar.
Yadaiwa Uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi.
Imeahidi kutangaza tarehe rasmi ya kurudiwa uchaguzi.
Chanzo: ZBC TV
Kwa hiyo matokeo ya Bara yatasubiri au inakuwaje ?Maana kuna kura za Bara kule Zanzibar
Kma masihara, kama mzaha na utani utani.......CCM inatupeleka shimoni, natamani mwanakijiji aje hapa atoe comments zake.
Kuna jimbo la kusini limetangazwa kuwa waliojiandikisha wote wamepiga kura !! Hakuna mgonjwa, aliyesafiriri au aliyefariki ?