tume-nec futeni matokeo ya urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania.
Simple logic
kama tume ya kule zanzibar-zec inakiri kuwa uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi,
means hata matokeo ya KURA za urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania zilizotoka huko zanzibar ni batili inabidi yafutwe pia.
kwa sababu
1. Kati ya lowassa/magufuli mmoja wao angekuwa rasi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambapo ndani ya kula ambazo wangepata zipo kura za kule zanzibar, hivyo kama zec imefuta matokeo kule means hata kura za urasi za jamuhuri ya muungano wa tanzania zifutwe pia.
2. Mpigaji kura wa zanzibar alipewa kura tano (watu wa kuwachagua), zikiwemo za rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, hivyo alipiga kura tano, hivyo ni ngumu kusema kuwa hizo kasoro zilimuathiri shein na maalimu seifu tuna siyo kura za raisi wa jamuhuri ya muuungano wa tanzania ( lowasa na magufuli).
NI NGUMU SANA KUTHIBITISHA NI KWA KIASI GANI HIZO DOSARI HAZIKUATHIRI KURA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (MAGUFULI/LOWASSA). MPIGAJI KURA ALIKUWA NI YULEYULE, MAZINGIRA YALEYALE, NA MSIMAMIZ NI YULE YULE, NI NGUMU SANA KUTHIBITISHA KUWA HIZO DOSARI ZA UCHAGUZI ZIMEATHIRI KURA ZA SHEIN NA MAALIMU SEIF TU BILA KUATHIRI KURA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MATOKEO NI BATILI TU.
tume ifute huu uchaguzi kwa kura za uraisi
kuendelea kulazimisha hiii ni kupoteza muda na pesa bure kabisa, na huenda machafuko yakazuka,
kasoro za wazi ziko nyingi sana
bumbuli-tanga idadi ya wapiga kura wote ni tofauti na kula zote zinazoonekana katika ubunge na urais.
Lakini pia kuna sehemu nyingi sana asilimia za matokeo hazimatch na
100% ya kura zote
poleni nec-mmeponzwa na marombe jr... Poleni, na mkicheza mnaliingiza taifa katika machafuko.
KWA KUWA MATOKEO YOTE YAMEFUTWA YA ZANZIBAR, MEANS NASI HUKU BARA HATUWEZI MPATA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MPAKA UCHAGUZI UTAKAPORUDIWA KULE ZANZIBAR ILI TUPATE KURA ZA WAZINZIBAR KATIKA KUMTOA RAIS WA JAMHURI YA MUNNGANO WA TANZANOA.
HIVYO HATUWEZ KUPATA RAIS WA JMT BY NOW. NA KWA HIYO JK ANAENDELEA KUWA RAIS.
PLEASE NEC STOPISHA KILA KITU.