Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

kujitangazia ushindi kunaathiri vipi matokeo ?
hii kali !
maagizo ya DODOMA hayo !
Hata mimi nimejiuliza Sana..! Kwani hata asingejitangaza matokeo yangebadilika?! Kama mtu ameshinda si ameshinda tu?! Haya ni maajabu ya dunia..!
 
Nec wakifanya hivyo kutangaza uraisi,basi Zanzibar kuna uwezekano mkubwa wa kutangaza nchi Yao
 
Waliopigia marais wa zanzibar, si ndo hao waliopigia kura ya Urais wa jamhuri ya muungano.

yani mkuu...tatizo la uchaguzi kutokuwa huru na haki alijaathiri matokeo ya uraisi wa JMT....dah!! hii ni laana
 
Kwanini uchaguzi urudiwe?kwani chama tawala kimeshindwa?
kama kimeshindwa basi ni sana urudiwe!

Mh! Nao ni mtazamo mzuri ingawa una maana mwenye haki ya kushinda ni chama tawala tu!
 
Imethibitishwa na tume ya uchaguzi zanzibar,, uchaguzi umeghairishwa mpaka hapo tutakapotangaziwa tena.
sababu ni uchaguzi kutokuwa huru na haki..

JE ITAKUWA KWA ZILE KURA ZA MUUNGANO?? WATAALAMU WA SHERIA MNASEMAJE HAPA?
 
Lowassa hajachelewa so far, hata hivyo kwani ccm wali lodge official complain kuwa wameibiwa pemba? au zec wamefuta kutokana na kuona kasoro walizoziainisha kwenye barua yao?
Kilichosabishwa kufutwa matokeo ni jimbo 1 huko pemba ccm kulalamika wameibiwa kura.
Remember Pemba ni CUF.
 
Ngoja nikatoe passport yangu kabatini iwe inakaa mfukoni.maana hii nchi inakoelekea siko kabisa tutafute tu kwa kuhamia,maana siku hawa wanaodhulumiwa haki zao wakisema imetosha wakaitafuta haki yao kwa nguvu hapatakalika hapa.democracy my ass
 
tume-nec futeni matokeo ya urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania.

Simple logic

kama tume ya kule zanzibar-zec inakiri kuwa uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi,
means hata matokeo ya KURA za urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania zilizotoka huko zanzibar ni batili inabidi yafutwe pia.

kwa sababu

1. Kati ya lowassa/magufuli mmoja wao angekuwa rasi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambapo ndani ya kula ambazo wangepata zipo kura za kule zanzibar, hivyo kama zec imefuta matokeo kule means hata kura za urasi za jamuhuri ya muungano wa tanzania zifutwe pia.

2. Mpigaji kura wa zanzibar alipewa kura tano (watu wa kuwachagua), zikiwemo za rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, hivyo alipiga kura tano, hivyo ni ngumu kusema kuwa hizo kasoro zilimuathiri shein na maalimu seifu tuna siyo kura za raisi wa jamuhuri ya muuungano wa tanzania ( lowasa na magufuli).

NI NGUMU SANA KUTHIBITISHA NI KWA KIASI GANI HIZO DOSARI HAZIKUATHIRI KURA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (MAGUFULI/LOWASSA). MPIGAJI KURA ALIKUWA NI YULEYULE, MAZINGIRA YALEYALE, NA MSIMAMIZ NI YULE YULE, NI NGUMU SANA KUTHIBITISHA KUWA HIZO DOSARI ZA UCHAGUZI ZIMEATHIRI KURA ZA SHEIN NA MAALIMU SEIF TU BILA KUATHIRI KURA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MATOKEO NI BATILI TU.

tume ifute huu uchaguzi kwa kura za uraisi

kuendelea kulazimisha hiii ni kupoteza muda na pesa bure kabisa, na huenda machafuko yakazuka,

kasoro za wazi ziko nyingi sana
bumbuli-tanga idadi ya wapiga kura wote ni tofauti na kula zote zinazoonekana katika ubunge na urais.

Lakini pia kuna sehemu nyingi sana asilimia za matokeo hazimatch na
100% ya kura zote

poleni nec-mmeponzwa na marombe jr... Poleni, na mkicheza mnaliingiza taifa katika machafuko.

KWA KUWA MATOKEO YOTE YAMEFUTWA YA ZANZIBAR, MEANS NASI HUKU BARA HATUWEZI MPATA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MPAKA UCHAGUZI UTAKAPORUDIWA KULE ZANZIBAR ILI TUPATE KURA ZA WAZINZIBAR KATIKA KUMTOA RAIS WA JAMHURI YA MUNNGANO WA TANZANOA.

HIVYO HATUWEZ KUPATA RAIS WA JMT BY NOW. NA KWA HIYO JK ANAENDELEA KUWA RAIS.

PLEASE NEC STOPISHA KILA KITU.
 
Shein alishakubali kushindwa but Mkapa ndiye aliyeamua matokeo yafutwe uchaguzi urudiwe.
 
Anayekuja naye asipokuwa makin naye atakuja kupata aibu kama ya kikwete wtz tulitaka rasimu ya wrioba wakakataa wakaleta rasimu ya ccm wzbr wametuonyesha nia yao kubwa ni nni ndo mana shein kakomeshwa kwa sababu ya kuti kusikia wzbr
 
Waliopigia marais wa zanzibar, si ndo hao waliopigia kura ya Urais wa jamhuri ya muungano.

ni hao hao, ila matatizo yako kwenye karatasi zilizopigiwa kura za wakina Raisi wa ZNZ na Wawakilishi, Matokeo ya Bara yanasimama.
 
Kwa nini uchaguzi urudiwe wakati ni dhahiri ni dhahiri Maalim Seif ndiye aliyepata kura nyingi? Kwa nini CCM hawakubali kushindwa? Mbona wao 2wakishinda uchaguzi haurudiwi? Mimi nadhani ili kuepusha shari tume imtangaze Maalim Seif kuwa ameshinda, kwani hata waangalizi wa kimataifa wamethibitisha hilo.
 
Kukataliwa kwa Katiba ya Warioba ndio kumepelekea matatizo kama haya kujitokeza. Laiti tungeenda kwenye uchaguzi mkuu chini ya katiba iliyopendekezwa ya warioba yote haya yasingetokea. Tume mbili za uchaguzi katika nchi moja wapi na wapi. Vyama viwili tofauti ikiwa itatokea ushindi kwa Cuf na CCM, cHADEMA na Cuf itakuwa utawala gani?
 
Nakuona wewe ni bush lawyer. Watu walewale, jimbo lilelile, wasimamizi wa chumba kile kile. Msimamizi harafu unasema yaha menigine ni safi ya jamhuri, ila ya zenji ni batili? Tafakali!

hivi ulipiga kura kweli? kura zilizoharibika au zitakazorudiwa ni zile zilizopigwa na kuwekwa kwenye masanduku ya Raisi wa Zanzibar na Wawakilishi, kura za Bara zinasimama. Wazanzibari hawajali sana nani ni Raisi Bara, bali ni wao wenyewe ndio wamehujumiana.
 
Mkuu yaliyofutwa ni ya Zanzibar na sii ya muungano.
Ya muungano yanasimamiwa na NEC mkuu so NEC ndio wangetangaza kufuta.

Mkuu Serikali yetu ni ya Jamhuri ya Muungano hakuna namna yeyote unaweza kufuta kura za Zanzibar na Bara mkawa Salama , wafute Uchaguzi wote halafu hao viongozi wasiozidi kumi wafanye maamuzi wanayoyataka kwa ajili ya watanzania takribani million 50
 
Back
Top Bottom