PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel:
Ikulu Tanzania na Tovuti: www.ikulu.go.tz
#TanzaniaYetuSote
#NchiYetuKwanza
#MaendeleoEndelevu
 

Attachments

  • IMG-20260423-WA0016.jpg
    180.9 KB · Views: 20
Wageni waanza kuwasili Ikulu Tanzania
Wageni mbalimbali wameanza kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam Tanzania katika shughuli ya kupokea ripoti ya Tume ya Uchunguzi itakayobidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan hii leo.
Viongozi wa dini, mabalozi, na viongozi wa kisiasa wamehudhuria.


Maelezo ya picha, Mabalozi wamewasili Ikulu Dar es Salaam kusikiliza ripoti ya matukio ya Oktoba 29, 2025




CHANZO CHA PICHA, TBC
Maelezo ya picha, Viongozi wa kidini wamewasili Ikulu Dar es Salaam kusikiliza ripoti ya matukio ya Oktoba 29, 2025

CHANZO CHA PICHA, TBC

Maelezo ya picha, Mwenyekiti wa Tume, Jaji Othman Chande pamoja na wajumbe wengine wa tume hiyo tayari kukabidhi ripoti


 
Napata hasira sana, miuaji yote ipo live kmmke
 
Jaji Chande ametimiza miaka 74 miezi 3 iliyopita, kwa kuwa hana cha kupoteza katika umri wake angestick kwenye kuleta upatano kwa yalitokea OKT29

Otherwise, heshima yote aliyojijengea inaweza kuondoka leo
 
Muwasilishaji alivyo sema tu ' kazi na utu' nikahitimisha hamna jipya hapa.

Ngoja tusikie wadhifa mbali mbali za wajumbe, mpaka wamalize kutaja wadhifa zote tutakua tusha sahau tulicho letewa.
 
Tujiandae kusikitika na kutoneshwa vidonda vya ndugu zetu waliopotezewa maisha yao OCT 29 kwa makusudi na mtu aliyeunda hiyo tume..!!
 
Mnaandaliwa kisaikolojia kupokea taarifa ya uongo
Wewe ndiye unayetuandaa kupokea nadharia ulizotengeneza
Wanaandamanaji walikuwa wanaleta ustaarabu kwa watu wasio wastaarabu.
 
Jaji Chande ni nguli kweli kweli kwenye mambo haya!..

🚨Tuna imani kubwa sana kuwa ripoti hii itaeleza ukweli wa nani alikuwa nyuma ya vurugu za 29 Oktoba 2025

🚨Kwa uzoefu huu wa Jaji Chande hatukuhitaji wazungu kuja kuchunguza mambo ya 29 Oktoba 2025

#UkweliOktoba29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…