PostGE2025 Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sasa jakaya anaingiaje hapo,au unaendeleza chuki alizokujaza askofu aliyesema 'mtu ukistaafu kaa mbali na serikali'!?
Jakaya ndio mastermind wa mambo yote, huyo mama ni decoy tu!! Kuhusu kublack mail serikali wamerekani hivi sasa wanafurahia kwani wanaweza kufanya hivyo kwa kupitia kwa Kikwete ambae ndio mshauri mkuu wa Samia ; hivi sasa Kikwete anapata fedha nyingi kutoka marekani kupitia the GATES FOUNDATION ambao wanapenyeza $$$$$ kupitia Jakaya Kikwete foundation hivyo itakuwa rahisi sana hii serikali kuwa blackmailed kupitia kwa Jakaya Kikwete na kuweza kuchukua RARE MINERALS KUTOKA Tanzania kwa bei ya kutupa!!
Wachina waliblackmail Kikwete na ndio maana mpaka sasa nchi haijanufaika na gesi yetu kutoka kusini mwa nchi. Huyu mzee is a national disaster.
 
Rare minerals tz ni zipi na zinapatikana wapi?
Wachina waliblackmail Kikwete na ndio maana mpaka sasa nchi haijanufaika na gesi yetu kutoka kusini mwa nchi. Huyu mzee is a national disaster.
Huu uwongo wa kijinga,muwe mnachuja mambo,gesi ya mtwara tunamiliki 50% kupitia tpdc
 
Rare minerals tz ni zipi na zinapatikana wapi?

Huu uwongo wa kijinga,muwe mnachuja mambo,gesi ya mtwara tunamiliki 50% kupitia tpdc
Kaa kimya Wananchi wanajua kuwa Kikwete alikuwa dalali wa gesi kwa Wachina na ndio maana akapitisha miswaada ya gesi under certificate of urgency mwisho mwisho wa utawala wake!! Kaa kimya usimtete huyo muuwaji! Ulizia wachina wanamiliki nini huko Kusini?
Nitakufundisha kitu, an example of a rare mineral ni lithium ambayo hutumika kutengeneza batteries; inapatikana kusini mwa Tanzania na Elon Musk is a shareholder kwenye hiyo venture na ndio sababu alitaka kuleta STARLINK Tanzania to protect his interests. Umeelewa wewe chawa wa Kikwete?
Hawa washenzi kumbe wameishauza hata URANIUM yetu ingali ardhini!!!
 
mkuu usitumie nyundo kuua sisimizi,

huyo unayemjibu ni kati ya wapumbavu wachache walioamua kuonesha ujinga wao hapa JF, yaani ni mchanganyiko wa mjinga na mpumbavu, imagine

natamani nielekezwe namna ya kuzuia kuona comments zake,

kwa umri wangu huu sijawahi kumsoma mtu mjinga kwenye makala yoyote hapa duniani kama huyo
 
 
Andiko murwa lililojaa weledi na utaalamu. Nimeguswa zaidi na nukta yako ya UDINI. Naomba wadau wote wazingatie hili hasa moderator wa JF na wahariri wote. Tusikoleze moto wa Udini tafadhali. Hii nchi yetu sote. Tujifunze kutoka Yugoslavia !!! Majuto mjukuu !!!
 
Hapo Kwenye kutublack mail ndio pananitisha hawa CCM wako tayari kuuza nchi yote ili tu wasipekekwe huko, matokeo yake ICC watatupiga Dana Dana kiukweli tuombe Sana Haki ya ndugu zetu ipatikane walau wasife Bure, Mimi nawaombea na kizuri ni Kwamba kila ambaye hufa akipigania HAKI ya nchi yake huyo ni peponi direct. Wenzetu wanafuraha Sana huko walipo
 
Mclick ikija profile yake we mimuignore,
 
Reactions: Okk
Hata bila ya Mchina kublack mail Kijwete, chini ya CCM sioni uwezekano wa rasilimali za Taifa kunufaisha wananchi, zaidi ya hao wenyewe tu….Na nina feel kuwa hawa viongozi wakubwa (vigogo) wana uraia wa nchi nyingine.
 
Hata bila ya Mchina kublack mail Kijwete, chini ya CCM sioni uwezekano wa rasilimali za Taifa kunufaisha wananchi, zaidi ya hao wenyewe tu….Na nina feel kuwa hawa viongozi wakubwa (vigogo) wana uraia wa nchi nyingine.
Kikwete hana akili ya kuwa na uraia pacha ; pengine akihama Msoga aende kwa wakwe zake Lindi!!
Samia na a familia yake wana uraia wa Oman na ndio maana akamteua ndugu yake kuwa balozi wa nchi yetu huko Oman kwa wajomba zake!!! Samia kanunua Nyumba Dubai inayotumiwa na mwanae Abdul kama ofisi ya biashara.
 
Ila katika haya yote huyu Mama ndio shida. Kutokuwa na akili ni shida sana. Kama taifa tunahasara mno kupata kiongozi kama yeye..
 
Duuuu….
 
Kwanza, hivi ni kwanini tulikubali na tunakubali taifa/nchi yetu kuwa na kiongozi Mkuu mwanamke mjinga na mpumbavu kama huyu aisee???
 
Duuh.... Sisi ikitoke serikali ikatoa hukumu za mchongo itakuwaje?
 
I have lived long enough to understand that: NOBODY IS UNTOUCHABLE.​
Ktk kutimiza hayo masharti uliyosema wanaweza kuunda kesi ya kanyaboya, mashtaka ya kanyaboa, na hukumu ya mchongo. Je hawwtakuwa wameukwepa mtego wa icc?
 
Hii tume ijue imebeba dhima kubwa mno ya mustakabali wa taifa hili,na ijiepushe kuwa sababu ya hasira ya mara zingine za Watanzania,kinachoitwa kwa Uhuru wa tume wajue kuwa tayari wapo machoni masikioni na kwenye akili ya kila Mtanzani,je ni yaleyale maigizo ya muda wote kwa Mtanzania ama ipo dhamira ya kuponya majeraha makubwa ya ndani ya mioyo ya Watanzani ya tangu inayoitwa miaka 60 ya uhuru?Kazi kwenu mkeshe mkiomba ili muifanye kazi hiyo naiweze kuwashawishi Wtanzania japo kwa uwepo wenye dhamira ya kweli kuliponya taifa.Yangu nikiwa ziarani J'berg.
 
Mtu kama uko na bunduki nzuri hapo unalaza wote shaaaa!
Ni vile tu kupata siraha ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…