Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

Wakuu Salaam:

Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu.

Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho.

Hawa wanafunzi wa vyuo vikuu watakapohitimu ndiyo wanaotegemewa kuwa viongozi na wazalishaji katika sekta mbalimbali ili kuinua maendeleo yao binafsi na Taifa kwa ujumla.

TCU wanatakiwa kuwafuta usajili wote waliohusika kwenye hizo video na wasipewe nafasi ya kusoma chuo chochote kabisa.

Kila mtu ni kama kashazoea habari kama hizi kusikika, hakuna maadili tena. Unakaa siku 2,3 unapata habari mpya.

Wanafunzi wa elimu ya juu tatizo liko wapi hadi kufikia hatua hii?

TCU chukueni hatua.
Safi sana mkuu. Hili ni wazo jema sana kwa mwaka huu. Congrats.
 
Acha roho mbaya na umbea wa kufatilia maisha ya watu ... FANYA KAZI
 
Dah! Jukwaa pendwa halipo! Sasa hapa Connection ndio zimezidi kuwa ngumu!!
 
Tume inadeal na usajiri wa VYUO na sio WANAFUNZI
 
Wewe Malaya

Hayo ya wazungu waachie wao maana wapo dunia nyingine fata cultural yako usipende kujilinganisha kwa kila kitu..




Tunakemea hivo vitendo na hatuvitaki.
Acha unafiki, vitendo unavipenda ndio maana kila video unaichangamkia kuitazama.Wasiovipenda hivyo vitendo hawajui kama kuna video zimerushwa na hawana habari mnaojifanya hamvipendi mna data zote.Wabongo wznafiki sana.Hivi usipoenda kupekua mitandaoni hixo video unazikuta wapi, mbona hao warushaji wataacha wenye, wanaendelea kwa sababu nyinyi wateja wao mpo, mnapakua data wanapiga hela.
 
Kwahy kama ni mtoto wako umeona video zake zinasambaa mtandaoni akiwa anakunjwa tena tigo, utachekelea?
Mtoyo wangu hawezi kufanya hivyo kama unazuia kwasababu ya motto wako basi una shida.Vitendo huzuiwa kwa sababu
Wewe Malaya

Hayo ya wazungu waachie wao maana wapo dunia nyingine fata cultural yako usipende kujilinganisha kwa kila kitu..




Tunakemea hivo vitendo na hatuvitaki.
Kwa hip hao wanaojirekodi in watoto? Kwani hao wanaojirekodi hawana wazazi ? Unakemea halafu unapakua xporn unacheki AF hapa unatoa povu. Unakemea halafu nyumbani watoto wako wanaangalia tamthilua za mapenzi,movie nk. wala huoni shida.Ukikrmea uache kutumia mifumo ya uharibifu hats hspa JF usiingie maana urakutana na habari za uharibifu.Nimekwambia hakuna anaeweza kuzuia impact ya Globalization.Matelevisheni kutwa kupiga nyimbi za mapenzi af hspa unajifanya hupendi.Chukia,zuia mifimo sio matokeo wewe.
 
Acha roho mbaya na umbea wa kufatilia maisha ya watu ... FANYA KAZI
Wewe ni kiazi kweli!
Tabia chafu lazima zikemewe, haiwezekan kila kukicha ni mavideo machafu tena ya wanachuo..

Bado wa primary tu na sekondari sasa..

Lazima tukemee
 
Back
Top Bottom