Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

Ni habari njema na itarudisha maadili kwa wanafunzi maana imekua kama fashion, wasomi wanawaza ujinga wa kurecord video chafu na picha mbovu mitandaoni, sijui wanapata wapi huo muda, badala waumize vichwa kufanya jambo litakalosaidia nchi au gunduzi mbalimbali, wanaweka makalio mitandaoni
 
Wewe ni mburula.
 
Kabisa Ndugu Mtende, ndiyo kizazi cha sasa kinachopikwa kwa utandawazi, kila kona uchafu tuuu...
 
Adhabu iwe kwa wote, msambazaji, aliyerokodi na aliyejirekodi/kurekodiwa...



Cc: mahondaw
 

Nami nakusikitikia unajiita msomi hujui hata kujenga hoja, hufahamu kazi wala Mamlaka ya TCU. Kwa kifupi TCU hawawezi na wala hawana mamlaka kumfuta au kumchukulia hatua Mwanafunzi yeyote wa Chuo baada ya kudhahiliwa bali Chuo husika ndicho kinaweza kufanya hivyo baada ya kugundulika kuvunja Miiko, Sheria au Taratibu za Chuo vinginevyo utaishia kupopoma Mitandaoni tu.
 
Hao wanafunzi wanaojirekodi picha chafu wanawaweka wazazi wao kwenye wakati mgumu Sana.

Wanafunzi waoneeni huruma wazazi wenu, msiwafanye wafe mapema.
 
Mwenye kuhitaji KONEKSHENI. YA MISS MUST AJE INBOX ILA SEMA NINATUMIA FREEBASICS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…