Tumeacha kutetea bandari zetu sasa tunatetea mwekezaji muislam, waziri muislam na rais muislam!

Bandari ni suala la Muungano, Kwani Zanzibar hawataki kufaidi? Hoja inarudi pale pale,kwa Nini bandari za Tanganyika tu?
 
Makubaliano au mkataba? Wewe unaona ni kitu gani? Mtajikanyaga sana, Tulia kule bungeni kasema ni mkataba, Chongolo anasema makubaliano, Kinanaa anasema mkataba, we mbugila unasema ni Nini?
 
Umesahau kuwa tuliwahi kuwaterea, mwekezaji mkristo, rais mkristo na, waziri mkristo?.

Hicho kichwa cha habari ndio tatizo kubwa linalowatesa DP World na sio kingine chochote.

Habari ya mkataba kuwa na upungufu ni siasa nyepesi tu, imeshainiwa mikataba mingi na migumu kuliko huu wa bandari na hakuna aliyesema eti irekebishwe.
 
Ule mkutano wenu wa bulyaga Temeke watu waliususia baada ya kugundua akili iliyopo nyuma ya wote wanaopinga uwekezaji wa DP World.

Ni vigumu sana kuwaburuza waislam wa huku bara. Wale wa kule visiwani mnaweza kuwajumuish tu kama sehemu moja ya muungano lakini hawa wanaozaliwa mikoa ya mwambao mzima ni vigumu kuteka akili zao.
 
So maaskofu usoma vifunguvya mkataba vibovu,nao wangekuwa wanatufafanulia vifungu ili tuelewe we una Baki kusema nimzuri,tutapata faida nyingi, ajauzwa ahaa niutetezi gani up,chambua vifungu ,kwani issa shivji no mkristo mbona katufafanulia vifungu na tumemuelewa
 
Mtu aliyewafanya babu zetu kuwa watumwa kwa ukatili mkubwa leo hii tunawakumbatia eti watatusaidia, kweli?
Akili za kishamba ndio hizi hapa. USA na UK hawa jamaa wamewekeza pia, na huko wana historia kama ya Tanzania?.

Hivi ndivyo mnavyojazwa ujinga mkiwa huko kanisani kwa mchungaji Maximilian?, pathetic minds.
 
Watashindana, hawatashinda
~Mzee wa upako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…