Tumeachana ila analaumu simtafuti kwenye simu

Kwa jinsi ninavyojuwa wanawake ikitokea mmeachana na bado anaendelea kukutafuta kwa ubaya Au uzuli tambua ya kwanza kuna vita kubwa inakaribia kuanza kati ya ww na huyo mwanamke ni vita ambayo mwanamke anakuja kulipa kisasi ambacho hutokuja kumsahau maishani mwako kwa kifupi kipindi tegemea mambo yafuatayo.....

1.kuombwa msamaha

2.ombi la kurudiana

3.ukishakubali hapo ndipo Safari yako ya kifo itakapoanza kutengenezwa na hapo hujajua ni kifo cha aina gani
 
Vita ya nini wakati sijabaki na chake wala yeye hajabaki na changu
 
Haaahaaaahaaa [emoji16][emoji16] eti ni vita...acha kumtisha bana
 
Moja ya sifa kuu ya mwanaume ni msimamo.....ukishafanya MAAMUZI unatakiwa kusimamia maamuzi yako......na hapa ndipo wanapoteleza wanaume sana na kuonekana wadhaifu.....
Kwa kuwa hulka yangu sio ya kumkaushia mtu
Akinicheki ntakua namjibu fresh tu
Ila mimi kama mimi sitowahi kumtafuta eti kwa kuanzisha mazungumzo.

Akijiongeza apotezee mazima itakua heri zaidi na sijui kwanini mpaka muda huu hajafuta namba yangu wakati ni rahisi tu[emoji3]
 
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona umepaniki
[emoji2]Amna sijapanic ila najiuliza kama ni hivyo jamaa alivosema kwanini yawe hivo wakati sijamharibia maisha yake kivyovyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…