Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Habari wakuu
Kuna binti mmoja tulikua kwenye mahusiano kwa takribani mwaka na visehemu,bahati mbaya sana tukaachana tar1/3 mwaka huu na tukatakiana maisha mema fresh fresh.
Sasa cha ajabu zinaweza zikapita ata wiki3 atanitxt na kunilaumu kwa nini namtenga sijui simtafuti na lawama kibao[emoji3]
Mfano punde tu katoka kunitxt na lawama zile zile na hapo alinicheki tena tar17/3.
Hivi mtu wa aina hii nikumjibu tu vibaya au nifanyaje wakuu? kwa ambao washakutana na hizi changamoto.
Nikiri wazi nampenda sana ila sitaki kabisa kurudisha haya mahusiano na nnapambana sana nimtoe moyoni ila kila nnapoanza kumsahau ndio anajitokeza.