Tumeachana lkn kila ninachokiweka kwenye status yangu whatsapp lazima anihoji.

Tumeachana lkn kila ninachokiweka kwenye status yangu whatsapp lazima anihoji.

Nyie bado mnapendana rudianeni mlee watoto maana hiyo mnayoifanya ni michezo inayopaswa kufanywa na watoto wenu.

Acheni kurushana roho mtajisababishia magonjwa ya akili bure hasa wewe mwanaume/baba wa familia.
 
Huwa hatuachani Bali tunatengana Kwa muda usiojulikana!!kuachana ni Hadi pale mmojawapo anapokufa ndio mnaachana!!

Hasta akiolewa Bado hamjaachana coz nani ajuaye ya kesho!!?

Hayati chuma walitengana na mke wake lakini wakaunganishwa na kampeni!mnakumbuka!!?

KAZI na utu tunasonga mbele!!
 
sasa mliachana hayo ya kufatiliana nini shida?? si muendelee kukulana tu
 
Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani
Mtoto wa kwanza Mpaka wa tatu chemisty haziendani??
20250112_093956.jpg
 
Habari zenu
Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini?
Nifanyaje hapa wadau?
Both team to score
 
Dume unajiwekaje status aisee,? Mm hata profile pic yangu sijawahi kuweka ! !!!!!

Yani unajipost ? Ili iweje? Upate comments? Au unashangaa dume zima eti Instagram ama X limejipost mara ooh birthday loading, dah
 
Mapenzi ni upofu je anawezeje kuona status zako?
 
Dume unajiwekaje status aisee,? Mm hata profile pic yangu sijawahi kuweka ! !!!!!

Yani unajipost ? Ili iweje? Upate comments? Au unashangaa dume zima eti Instagram ama X limejipost mara ooh birthday loading, dah
Punguza makasiriko we babu,nenda kalee wajukuu huko.
 
Back
Top Bottom