Tumeachana lkn kila ninachokiweka kwenye status yangu whatsapp lazima anihoji.

Yaani mtoto wa 1,2,3 chemistry haziendani? ila biolojia zinaendana hahaha
 
Habari zenu
Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini?
Nifanyaje hapa wadau?
Kama hukumwacha kwasababu ya usaliti rudianeni,Kuhusu status muulize mwenyewe
 
fungua wasap
Bonya setting
Bonya privacy
Bonya status
Tafuta kipengere kinasema “my contacts except “ kandika li jina lake apo mwanawani

Hutapata usumbufu teena
 
Habari zenu
Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini?
Nifanyaje hapa wadau?
Huyo ni mkeo.Ni mwili mmoja ambao mmetengana kwa muda.Usijidai kushangaa anavyokufuatilia.
 
Dume unajiwekaje status aisee,? Mm hata profile pic yangu sijawahi kuweka ! !!!!!

Yani unajipost ? Ili iweje? Upate comments? Au unashangaa dume zima eti Instagram ama X limejipost mara ooh birthday loading, dah
Mimi nikiona mvulana amepost "Birthday Loading..." Nampunguzia heshima afu nampa dada yake.. Kuna wale pia wavulana wanapost wamejirecord wameshika simu za macho matatu na filter juu alafu wanajiangalia angalia na kulamba lips ni wapumbavu sana.. Huu mtindo nimezoea kuona wadada sana hasa wa TikTok wanafanya ila ajabu kuna jinsia ya kiume pia wanafanya nao siku hizi duuh!
 
Bila Shaka wewe ni shabiki wa Timu hatuchezi wale ndio wanaume wanamtumia neno "ng'o" tena Kwa madaha
 
Habari zenu
Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini?
Nifanyaje hapa wadau?
Endela kujibu hoja mpaka zimalizike!
 
Habari zenu
Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini?
Nifanyaje hapa wadau?
kama umeachana nae usimjibu wala usichat nae . Atachoka ataacha ila ukimjibu ataendelea
 
Dume unajiwekaje status aisee,? Mm hata profile pic yangu sijawahi kuweka ! !!!!!

Yani unajipost ? Ili iweje? Upate comments? Au unashangaa dume zima eti Instagram ama X limejipost mara ooh birthday loading, dah
Daah wewe umetisha na comment yako
 
Mimi nikiona mvulana amepost "Birthday Loading..." Nampunguzia heshima afu nampa dada yake.. Kuna wale pia wavulana wanapost wamejirecord wameshika simu za macho matatu na filter juu alafu wanajiangalia angalia na kulamba lips ni wapumbavu sana.. Huu mtindo nimezoea kuona wadada sana hasa wa TikTok wanafanya ila ajabu kuna jinsia ya kiume pia wanafanya nao siku hizi duuh!
Hayo ni mashoga/mapunga yanapumuliwa
 
Habari zenu
Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini?
Nifanyaje hapa wadau?
Mrudie..
 
Pumbavu kabisa. Yaani mnazaa watoto watatu alafu ndio mnagundua hamna chemistry? Mnaachana? Kila mtoto Ana haki ya mzazi lakini sio kila mzazi Ana haki ya mtoto. Wanandoa mkishafikia hatua ya kuzaa, hiyo ndoa siyo kwa ajili yenu tena bali ni kwa ajili ya watoto. The fact unaongelea maswala ya kipuuzi kama status ni evidence wote ni wapuuzi. Mnatesa viumbe innocent kwa ukosefu wenu wa akili, hao watoto watakuja kuwatafuna huko mbele, know it.
 
Huwa nina mashaka na wanaume ambao sio wafanya biashara kupost status
 
Habari zenu
Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini?
Nifanyaje hapa wadau?
We una ujinga na upumbavu,yaani uzae na mtu 3kids then ndo mgundue chemistry haziendani,hao watoto mmewaleta kuwapa shida tu.
 
Huna nina mashaka na wanaume ambao sio wafanya biashara kupost status
Kuna ambae niliona eti kampost status Trump kumpongeza kwa kushinda urais wa marekani,sasa nikajiuliza Trump anaona hizo pongezi kweli?
 
Back
Top Bottom