Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Inferiority complex ipi... Tabia zenu mbaya zakunuka na kuchafua jamii zinipe inferiority complex Mimi...Hahhhahhhahhaa.. i sayyy . Unatapa tapa balaa.. nakubaliana na mdau huko juu kukuambia una inferiority complex.. deep down.
Yani una chuki mpaka basi. We mtu hajakufanyia ubaya wowote umekaza shingo kwelikweli eti watengwe. .Alafu iweje sasa? Eti sinunui kwa mangi..unajichosha tuu na kujitesa bure.
Dada jitafakari moyoni kwako. Too much hate. Find and make peace with yourself, hutakua na shida na mchagga.
Mnakazanaga yes na Malia.. ruwa sijui Nini...kumbe wezi wakubwa na wadhulumati...
Sasa Nani aanataka kujinasibisha na wachawi wakuroga Watu December na walevi na kubwa zaidi WADHULUMATI wakutupwa..
Huyo rafiki wahivyo wanini ...ndo Maana tunajitenga na uchafu wenu.