Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Tena ulevi...mtoto akizaluwa badala ya maziwa ya Mama..anaonjeshwa Pombe.... Baadae ndo maziwa..Na ulevi ni sisi.
Wachaga Ni walevi kupindukia... Yaani pombe ndo ufahari wa mchaga baada ya wizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ulevi...mtoto akizaluwa badala ya maziwa ya Mama..anaonjeshwa Pombe.... Baadae ndo maziwa..Na ulevi ni sisi.
Yaani leo nimeshaanga haya mapovu, utadhani hawajawahi kuona mchaga akioa au kuolewa na kabila linginepoa poa... kama haujaowa nipo na madada wa kutosha ...njoo uowe kwetu .....
Duuh.. jamanYaani ukitaka usalama wa roho yako kama wewe si mchaga basi usioe /kuolewa na mchaga....yale matambiko wanayofanyaga Kila mwisho wa mwaka hawatakuruhusu ushiriki maana wewe ni CHASAKA
Nani aanataka kuchanganya damu na Hawa majambazi wakichaga... Washirikina KILA December Ni kuloga wenzao na kutoa kafara... Waowane wenyewe kwa wenyewe.....wakaendeleze vizazi vya walevi, walozi na wezi.Muacha Mambo ya kuoana nyie kwa nyie intermarriage Ni nzuri inakuza ushirikiano katika jamii
Hii ni chungu kweli kweli mkuu...ila inabidi waimeze tu hivyo hivyo hakuna namnaNani aanataka kuchanganya damu na Hawa majambazi wakichaga... Washirikina KILA December Ni kuloga wenzao na kutoa kafara... Waowane wenyewe kwa wenyewe.....wakaendeleze vizazi vya walevi, walozi na wezi.
Brother we Acha tu...yaan napataga hasira wkt mwngne nikiona cmu ya mshua halafu ukipokea anaanza oooh wadogo zako wamerudishwa Ada,mara ooh wadogo zako cjui itakuaje leo chakula. Huwa nampa tu kwakua ndo Baba yangu na sina mwingine...Ila nawachukia kiukweli.Kuna dada yangu wa ukoo aliolewa uchagani (yeye ni kabila tofauti), Mume wake akafariki, aisee katika vitu niliona wachaga na wanyama ni baada ya kumfukuza yule sister kwenye nyumba na kumnyang'anya kila kitu, wakarudi mkoa mwingine kuanza na maisha upya,akiwa na watoto wanne, watatu wakiwa shule mmoja ndio alikuwa mdogo. Huwezi amini wale watoto nusura waache shule kwa kukosa ada, bahati nzur kama familia tulifawana mtoto mmoja mmoja ndo wakaendelea na shule. Wale watoto ukiwaita wachaga wanakuonesha kuchukia Live... hawapendi kbs hilo kbl ingawa ndo hvy wachaga by birth!!
Kwa upeo wako mdogo lazima useme hivyo...walitegemea labda tutakua na maisha ya chini maana hawakuwahi kutufuatilia.Bahati Mbaya huwezi kueleza mabaya ya Mama yako aliyokuwa anamfanyie Mzee, na huwezi kuyaona au kutajua hadi utakapooa. Ndio maana aliamua kuondoka .
Mashangazi lazima walishangaa kazi unayofanya kwasababu unaonekana kabisa usoni kwamba huna akili sasa ukiwaeleza wanashangaa waliokuajiri waliwaza nini
Kwakweli...Tuache kununua maduka yao..wakafungue maduka yao kwao huko...WANATAKIWA watengwe... Haiwezekani wakadharau makabila mengine...wakati wamejaa Mikoa ya Watu wakifungua maduka na tunawaungisha..Pole mkuu. Nawajua sana hata ile kununua tu dukani kwako kama sio ndugu yao ni kazi. Kuna muda Nilikuwa nataka kununua vifaa vya kumalizia nyumba Yangu. Nikaenda hapa hardware shops hapa rwagasore Mza, sasa bana nikazama duka moja ivi Kumbe ni mangi. Nikachomoka fasta nikapeleka Hela kwa msukuma.
Hawa dawa yao ni kutonunua hata madukani kwao tuwatenge tuwe na umoja wetu mana wao wanajiona ni another level
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachaga...wanafundishwa kuiba tangu TU anazaliwa... Wenyewe kupata pesa ndo kipaumbele haijalishi hiyo pesa umeipataje... Ni wezi Sana wadhulimati... Na pia Ni walevi kupindukia...
Kuibia Watu kwao Ni sifa ujanja na ushujuaa
Sasa anakwambia ameachwa... We nawe Ni popoma TU...
We mlimbwende wangu nimefurahi kukuona karibu tena kwenye show za Joh![emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko sahihi kabisa.[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji119]Wewe haya hayaishi huyu kunguru ningemjua ningemzaba vibao huyo oooh
Hahaaapole dia.....tuliza hasira hakupunguzii ugali wako ....
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Nani aanataka kuchanganya damu na Hawa majambazi wakichaga... Washirikina KILA December Ni kuloga wenzao na kutoa kafara... Waowane wenyewe kwa wenyewe.....wakaendeleze vizazi vya walevi, walozi na wezi.
Alikwambia hayupo serious naye? Ina maana alikiri kuwa ana-cheat?Nikajaribu kuongea na mwenzangu ambaye aliniambia hayupo serious naye na ndio maana muda wote yupo na mimi na hawezi kuniacha hata itokee nini.
Akishajua sababu itamsaidia nini?Acheni chuki na wachagga, umeachwa kwa sababu nyingine, embu muulize vizuri huyo muachaji, acha kulia lia
Huwa nakula nao Ila wakiibuka akina shirima ,massawe na kimaro wanawakimbilia hao na wazazi wa kichagga huwa wanaforce sana mambopoa poa... kama haujaowa nipo na madada wa kutosha ...njoo uowe kwetu .....