Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Ni kwasababu ya utamaduni wao wanamufuata na kuheshimu, wewe kama sio mhaya utamaduni wao utakupa shida sana labda mishi mjini tu bila kusogeza ndgu na jamaa
Wana tamaduni za hovyo eeh😳😳?
 
Nilichojifunza hapa, kumbe kuna umuhimu wa kuchagua mwenza kwa kuangalia kwanza kabila lake kisha unaangalia vigezo vingine.
 
sidhani tatizo ni kabila....japo naona hapa kuna watu wamepata pa kutolea mihemko yao na WA- CHAGGA...( hilo ni Taifa)....tukumbuke sisi sote ni binadamu....wengi humu JF ni WATANZANIA.......so mmoja wetu akianza kusema haya ya ukabila ni kiashiria hatari sana......wachagga wengi sana wameoa na kuolewa na makabila tofauti tofauti sana....na maisha yako vema sana......ulikuwaje mwenzako ana mahusiano mengine na unamchekea??? yes naamini ulimpenda,,,but ulipaswa kulinda vyako...kwao walikufahamu !!! je na wewe ulimkaribisha kwenu??? ulitakiwa upambanie hilo pia.....5 yrs......mnakazana tuuu.....mnafanya uasherati tuuu.........pole sana....furaha yako iko mikononi mwako.....si kwa mchagga wala mnyamwezi.......
 
Kwamba mpaka kabila zifanane?
Sio lazima ufanane kabila.
Ila kuna umuhimu wa kukwepa kuoa toka kwenye baadhi ya makabila. Mfano mimi kutokana na historia yao sivutiwi na Binti wa Kichaga, Kimasai na binti wa kihaya. Makabila mengine sina tatizo nao.
 
binafsi mimi ni mchaga..lakini naomba tusikhukumu wachaga wote kuwa wanahizo tabia...kila mtu anahulka yake ..

mimi naamini katika mwanamke wa makabila mbali mbali japokuwa siyo yote.....
 
Tukiachana na mada ya huyu msichana.sisi si tunakaa na wachaga?

Ninawafahamu vzr Sana .

Nyie ni wabaguzi,wakabila,wezi,wenye roho mbaya na siku hiz wadada wenu wanajiingiza kwenye umalaya Sana kupitiliza

UMALAYA ni tabia ya mtu ..hata akiolewa au kuowa kama ni malaya ni malaya tu..huwa hawabadiliki
 
Hamna kupatana hapo huyu mtu kazi yake humu JF nikunitukana tu kila post na I'd nyingine too much hate ningekuwa na bastola ningemu shoot ya kichwa Wala maana hajiheshimu kabisa

pole dia.....tuliza hasira hakupunguzii ugali wako ....
 
Pale Corner Bar sinza ukipick mzigo lazima uwe Changga, Dec wanarudi Moshi kwamba wametoka kutafuta pesa upcountry!!!

hayo nayo ni maoni yako tu.....yawezekana wewe ndio huwa unaenda kuwa nunua....
 
Wachagga nao wa matatizo ya kiubaguzi huwa wanaoana wao kwa wao na wapare

Ni upuuzi sana

mpaka wewe unatukandia mkuu....tupunzisheni kidogo basi......

mapenzi kutokujua ni sisi
wizi sisi
umalaya sisi
wazulamti sisi
wabinafsi sisi
wahongaji sisi
wachawi sisi


sifa mbaya kwanini zote ziende kwa wachaga tu....
 
mpaka wewe unatukandia mkuu....tupunzisheni kidogo basi......

mapenzi kutokujua ni sisi
wizi sisi
umalaya sisi
wazulamti sisi
wabinafsi sisi
wahongaji sisi
wachawi sisi


sifa mbaya kwanini zote ziende kwa wachaga tu....
Muacha Mambo ya kuoana nyie kwa nyie intermarriage Ni nzuri inakuza ushirikiano katika jamii
 
1601380880036.png
 
Nani kakuambia mimi ni mchagga?
Unakana kabila lako sio.

Au unafikiri nimekufahamu Leo.

( Nishawahi kuona unakoment kuwa wanawake wa kabila Fulani wananuka na ukasema wew docta mkunga)

Na mara nyingi nakuona unakoment hasi kuhusu baadhi ya makabila makubwa hasa ya kanda ya ziwa so sikuchukua muda kukufahamu kuwa u mchaga hasiejielewa
 
mpaka wewe unatukandia mkuu....tupunzisheni kidogo basi......

mapenzi kutokujua ni sisi
wizi sisi
umalaya sisi
wazulamti sisi
wabinafsi sisi
wahongaji sisi
wachawi sisi


sifa mbaya kwanini zote ziende kwa wachaga tu....
Na ulevi ni sisi.
 
Back
Top Bottom