Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimchaga pia...nataka kukupooza hayo machungu unayopitia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimchaga pia...nataka kukupooza hayo machungu unayopitia
Ina maana gani mkuu?😁😁😁😁😁 ilo neno "Chasaka" ni la kindezi sana😂😂😂!!!
Inamaana Non-ChaggaIna maana gani mkuu?
Mpenziii...hujamboo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!hatariInamaana Non-Chagga
mapalestina ndo wakina nani hao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haya mapalestina ni bora muyaachage yaoane yenyewe kwa yenyewe tu...tena afadhali yako maana mwanaume ndo alikua mchaga ndo maana ukapata hata hiko kinafasi cha kutambulishwa ukweni
Mahusiano ambayo mwanamke ndo mchaga na mwanaume ni kabila jingine ndo yanakuwaga magumu balaa!!
Ni nadra sana mwanaume asiye mchaga (CHASAKA) kukubaliwa kuoa uchagani maana wanahofiaga kumpoteza member wa ukoo wao.
Kiufupi wachaga ni wabaguzi sana na wana ukabila kiwango cha SGR
mhh naomba ufafanuzi kwenye no 1. hapo ndg maana naelekea huko.
Hamna kupatana hapo huyu mtu kazi yake humu JF nikunitukana tu kila post na I'd nyingine too much hate ningekuwa na bastola ningemu shoot ya kichwa Wala maana hajiheshimu kabisaMsamehe bure basi bibie, kwanini msipatane muwe wamoja kama sote tulivyotokana na Adam na Ever?
Dr. ShikamooPole sana mrembo
Wazee wa fursa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi mnyalu, na hatuna issue za ubaguzi, cheki pm pliz
Ccm ni wezi zaidi[emoji23]Wachaga ni wezi sana wala usijute kuachana nae
Mzima sijui weweDr. Shikamoo
Duuuh...! Mungu akuongoze kwa hekima maana si kwa hapo ulipofikia Mama.Hamna kupatana hapo huyu mtu kazi yake humu JF nikunitukana tu kila post na I'd nyingine too much hate ningekuwa na bastola ningemu shoot ya kichwa Wala maana hajiheshimu kabisa
Nami pia ninahema fresh kwa msaada wa Aliye juuMzima sijui wewe
Kuna watu wanakera Sana Yani kila Uzi kutukana uongo Mara kile kisa hajapata alichotegemea ili kufuraisha hadhara na alikuja as a friend imagine, personal matter analeta humu.Duuuh...! Mungu akuongoze kwa hekima maana si kwa hapo ulipofikia Mama.
Pale Corner Bar sinza ukipick mzigo lazima uwe Changga, Dec wanarudi Moshi kwamba wametoka kutafuta pesa upcountry!!!Tukiachana na mada ya huyu msichana.sisi si tunakaa na wachaga?
Ninawafahamu vzr Sana .
Nyie ni wabaguzi,wakabila,wezi,wenye roho mbaya na siku hiz wadada wenu wanajiingiza kwenye umalaya Sana kupitiliza