Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Wachaga...wanafundishwa kuiba tangu TU anazaliwa... Wenyewe kupata pesa ndo kipaumbele haijalishi hiyo pesa umeipataje... Ni wezi Sana wadhulimati... Na pia Ni walevi kupindukia...

Kuibia Watu kwao Ni sifa ujanja na ushujuaa
Uko sahihi kabisa.😂
 
Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea.

Kwao natambulika ingawa si rasmi. Na swali la kwanza waliloniuliza kwao mimi ni kabila gani.

Wakaonyesha kunipokea na kunijali ingawa haikuwa utambulisho rasmi.
Baada ya miaka yote, nimegundua mwenzangu ameanzisha mahusiano na binti wa kichaga, yupo chuo mkoani.

Nikajaribu kuongea na mwenzangu ambaye aliniambia hayupo serious naye na ndio maana muda wote yupo na mimi na hawezi kuniacha hata itokee nini.

Baada ya siku chache tena mwenzangu akawa anaendeleza mahusiano hadi kupigiana simu zao mbele yangu.

Nilichokifanya ni kumlazimisha jamaa kuchagua jambo moja, mimi au Mchaga mwenzake wa huko chuo.
Mwenzangu alionyesha ugumu sana sana sana kuniacha ila pia kule kwa Mchaga mwenzake pia hataki kuacha.

Anachonieleza ni kuwa amenizoea, namjali, mimi ni part ya maisha yake, hivyo hataki niondoke ila wazazi wake wanataka apeleke mtu Mchaga na si kabila lingine.

Nimeamua kuondoka katika maisha yake ingawa mpaka sasa mwenzangu analeta ugumu sana katika kuchukua vitu vyangu nilivyoacha kwake. Ananidanganya na kunizungusha sana lakini kiukweli maisha anayotaka niyaishi, si maisha ninayoyataka.

Nimehuzunika tu kwa kuwa tumefika mwisho kwa sababu mimi si MCHAGA. Ubaguzi ambao Wachaga wengi wanao.

Nashukuru Mungu kwa kunipa pumzi hii hata nimeweza kulitoa dukuduku hili kwa ndugu zangu wana JF.
Pamoja na comment za kibabe ila kiukweli huwa ninafarijika sana ninaposhare na kukosolewa au kuonyeshwa njia sahihi.
Kuna wachaga wenzetu wameamua kutuchafua
 
We angalau umeamua kuendelea usirud nyuma kubali ndo ishakuwa hvo,n sehmu ya maisha
 
Tatizo mnapenda wachaga lakini wao hawawapendi
Pumbavu sana kaoe /kaolewe kwenu hakuna watu huko? ?
Mimi nimeshuhudia kabsaaaa muhaya kanyimwa kuoa mrangi tena ameshamzalisha
Wazee wake wakampiga pin hawamtaki kabsaaaa huyo binti

Wamemtafutia muhaya mwenzake na ndoa ilishafungwa

Halafu sio lazima kuoa /kuolewa na kabila lingine tafuta wa kwenu kuondoa hizi lawama

Mnapenda kabila fulani kwa vile ni mafighter wa maisha ili unufaike nenda kwenu pumbavu kabsaa
Mbona mimi nimeoa kwetu Singida?
Tunakula maisha Hapa Denmark tuu

Kila kabila lina taratibu zake Hata wanangu nitataka waoe nyumbani

Period. !!!!!!

Mmesikia au niongoze sauti. ????
We ulikataliwa na wazungu huko Denmark..unajifanya unajua..Dunia hi mtu aoe na aolewe na YOYOTE yule amtakae... Kuoa wakabila lako ndo ndoa inadumu?
...

Kikubwa maelewano...watu mmejaa UkABILA..la chuki TU.
 
Mbona huyo jamaa inaonyesha anampenda huyu dada, halafu amekosea kuingiza ukabila kwenye mapenzi hata kama huyo mwenza wake ni mchaga. Yeye kaambiwa anapendwa Ila kaamua kujiachisha. Siku hizi mahusiano yana gharama sasa huyu anachukulia poa. Inatakiwa amkazie boy wake ili nae ajue kweli anapendwa
Mahusiano gani hayo ya kuwapanga wawili binafs siwez huo ujinga
 
Umeambiwa ukweli ukapaa Tu.

We si unaonaga ni Raha kutukatana makabila ya watu ( kwa mihemuko na chuki zako Bila utafiti) lakin wew ukiambiwa ukweli unapinga kama vile wew msafi wa kila kitu.

Bro nyie ni wabaguzi,wabinafsi,wezi na wenye roho mbaya.
Kabisaaa umesema kweli.
 
Bahati Mbaya huwezi kueleza mabaya ya Mama yako aliyokuwa anamfanyie Mzee, na huwezi kuyaona au kutajua hadi utakapooa. Ndio maana aliamua kuondoka .
Mashangazi lazima walishangaa kazi unayofanya kwasababu unaonekana kabisa usoni kwamba huna akili sasa ukiwaeleza wanashangaa waliokuajiri waliwaza nini
Hakuna kitu wabaguzi tu hao acha kusingizia huyo mama.
 
Issue ni kuachwa au ni uchagga? Ata kama angekua mgogo ningemtetea, huyo binti tutamwamini vipi kwa kwa habari ya upande mmoja? Embu tumieni vichwa vyenu vizuri
Tukiachana na mada ya huyu msichana.sisi si tunakaa na wachaga?

Ninawafahamu vzr Sana .

Nyie ni wabaguzi,wakabila,wezi,wenye roho mbaya na siku hiz wadada wenu wanajiingiza kwenye umalaya Sana kupitiliza
 
Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea.

Kwao natambulika ingawa si rasmi. Na swali la kwanza waliloniuliza kwao mimi ni kabila gani.

Wakaonyesha kunipokea na kunijali ingawa haikuwa utambulisho rasmi.
Baada ya miaka yote, nimegundua mwenzangu ameanzisha mahusiano na binti wa kichaga, yupo chuo mkoani.

Nikajaribu kuongea na mwenzangu ambaye aliniambia hayupo serious naye na ndio maana muda wote yupo na mimi na hawezi kuniacha hata itokee nini.

Baada ya siku chache tena mwenzangu akawa anaendeleza mahusiano hadi kupigiana simu zao mbele yangu.

Nilichokifanya ni kumlazimisha jamaa kuchagua jambo moja, mimi au Mchaga mwenzake wa huko chuo.
Mwenzangu alionyesha ugumu sana sana sana kuniacha ila pia kule kwa Mchaga mwenzake pia hataki kuacha.

Anachonieleza ni kuwa amenizoea, namjali, mimi ni part ya maisha yake, hivyo hataki niondoke ila wazazi wake wanataka apeleke mtu Mchaga na si kabila lingine.

Nimeamua kuondoka katika maisha yake ingawa mpaka sasa mwenzangu analeta ugumu sana katika kuchukua vitu vyangu nilivyoacha kwake. Ananidanganya na kunizungusha sana lakini kiukweli maisha anayotaka niyaishi, si maisha ninayoyataka.

Nimehuzunika tu kwa kuwa tumefika mwisho kwa sababu mimi si MCHAGA. Ubaguzi ambao Wachaga wengi wanao.

Nashukuru Mungu kwa kunipa pumzi hii hata nimeweza kulitoa dukuduku hili kwa ndugu zangu wana JF.
Pamoja na comment za kibabe ila kiukweli huwa ninafarijika sana ninaposhare na kukosolewa au kuonyeshwa njia sahihi.
nicheki pm mkuu tuyajenge
 
wachaga hawatakagi" kysaka"
 
Back
Top Bottom