Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea.

Kwao natambilika ingawa si rasmi. Na swali la kwanza waliloniuliza kwao mimi ni kabila gani.

Wakaonyesha kunipokea na kunijali ingawa haikuwa utambulisho rasmi.
Baada ya miaka yote, nimegundua mwenzangu ameanzisha mahusiano na binti wa kichaga, yupo chuo mkoani.

Nikajaribu kuongea na mwenzangu ambaye aliniambia hayupo serious naye na ndio maana muda wote yupo na mimi na hawezi kuniacha hata itokee nini.

Baada ya siku chache tena mwenzangu akawa anaendeleza mahusiano hadi kupigiana simu zao mbele yangu.

Nilichokifanya ni kumlazimisha jamaa kuchagua jambo moja, mimi au Mchaga mwenzake wa huko chuo.
Mwenzangu alionyesha ugumu sana sana sana kuniacha ila pia kule kwa Mchaga mwenzake pia hataki kuacha.

Anachonieleza ni kuwa amenizoea, namjali, mimi ni part ya maisha yake, hivyo hataki niondoke ila wazazi wake wanataka apeleke mtu Mchaga na si kabila lingine.

Nimeamua kuondoka katika maisha yake ingawa mpaka sasa mwenzangu analeta ugumu sana katika kuchukua vitu vyangu nilivyoacha kwake. Ananidanganya na kunizungusha sana lakini kiukweli maisha anayotaka niyaishi, si maisha ninayoyataka.

Nimehuzunika tu kwa kuwa tumefika mwisho kwa sababu mimi si MCHAGA. Ubaguzi ambao Wachaga wengi wanao.

Nashukuru Mungu kwa kunipa pumzi hii hata nimeweza kulitoa dukuduku hili kwa ndugu zangu wana JF.
Pamoja na comment za kibabe ila kiukweli uwa ninafarijika sana ninaposhare na kukosolewa au kuonyeshwa njia sahihi.
Basi usijali,huyo jamaa hajakupenda kwa dhati,maana kama alikupenda hata sngeshinikizwa vipi na wazazi qake angekuoa tu,tumeona wachagga wangapi,ambao wameo makabila mengine,?
 
Hata huyo atamwacha kisa ni mchaga wa machame.

Baadae atamwacha mchaga wa Rombo kwa sababu ni Ukoo wa Shirima.

Guys hatima ya maisha yako ya baadae kwa maana ya mahusiano unayo wewe, sio ndugu, rafiki wala wazazi. Kuta nne ndizo zitakuwa shahidi wa maisha yenu. Wake up guys!!

Mkuu vipi hawa wa Rombo ukoo wa shirima wanashida gani.?
Mchumba wangu ni wa huko na ukoo wake ni shirima , wanashida yoyote hawa.?
 
Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea.

Kwao natambilika ingawa si rasmi. Na swali la kwanza waliloniuliza kwao mimi ni kabila gani.

Wakaonyesha kunipokea na kunijali ingawa haikuwa utambulisho rasmi.
Baada ya miaka yote, nimegundua mwenzangu ameanzisha mahusiano na binti wa kichaga, yupo chuo mkoani.

Nikajaribu kuongea na mwenzangu ambaye aliniambia hayupo serious naye na ndio maana muda wote yupo na mimi na hawezi kuniacha hata itokee nini.

Baada ya siku chache tena mwenzangu akawa anaendeleza mahusiano hadi kupigiana simu zao mbele yangu.

Nilichokifanya ni kumlazimisha jamaa kuchagua jambo moja, mimi au Mchaga mwenzake wa huko chuo.
Mwenzangu alionyesha ugumu sana sana sana kuniacha ila pia kule kwa Mchaga mwenzake pia hataki kuacha.

Anachonieleza ni kuwa amenizoea, namjali, mimi ni part ya maisha yake, hivyo hataki niondoke ila wazazi wake wanataka apeleke mtu Mchaga na si kabila lingine.

Nimeamua kuondoka katika maisha yake ingawa mpaka sasa mwenzangu analeta ugumu sana katika kuchukua vitu vyangu nilivyoacha kwake. Ananidanganya na kunizungusha sana lakini kiukweli maisha anayotaka niyaishi, si maisha ninayoyataka.

Nimehuzunika tu kwa kuwa tumefika mwisho kwa sababu mimi si MCHAGA. Ubaguzi ambao Wachaga wengi wanao.

Nashukuru Mungu kwa kunipa pumzi hii hata nimeweza kulitoa dukuduku hili kwa ndugu zangu wana JF.
Pamoja na comment za kibabe ila kiukweli uwa ninafarijika sana ninaposhare na kukosolewa au kuonyeshwa njia sahihi.
Dada la Kinyakyusa linaforce kuolewa na Mchaga
 
Umeambiwa ukweli ukapaa Tu.

We si unaonaga ni Raha kutukatana makabila ya watu ( kwa mihemuko na chuki zako Bila utafiti) lakin wew ukiambiwa ukweli unapinga kama vile wew msafi wa kila kitu.

Bro nyie ni wabaguzi,wabinafsi,wezi na wenye roho mbaya.
Issue ni kuachwa au ni uchagga? Ata kama angekua mgogo ningemtetea, huyo binti tutamwamini vipi kwa kwa habari ya upande mmoja? Embu tumieni vichwa vyenu vizuri
 
Aiseee..mm Baba angu ni mchaga mama Kabila kingne,
Kiukweli cjawah kuishi uchagan hata lugha yao cjui kuiongea nahc mshua alibobea Sana mjini na alikua anafanya Mambo yake mengi Kwa kificho.huwezi amini Baba alikuja kufunga ndoa kimyakimya na mchaga mwenzake wakaanzisha familia,Mzee cjui alirogwa maana hata matunzo kwetu akawa hatoi mama ndo alitusomesha mungu saidia sasa hv kila mtu ana kazi yake ya maana.
Babu mzaa Baba alipofariki ndio tulienda huko na kukutana na familia nyingine ya Mzee lakini ubaguz ulijionyesha dhahiri..kwakua Nina mpunga wangu wa kutosha na Mzee analijua hilo akawa anajaribu Kama kubalance Mambo Ila mashangazi wakatukazia kimtindo.
Mambo yalipoisha mshua akatutambulisha pale pamoja na kazi tunazofanya nikaona mashangazi mishipa ya uso inawalegea mara ooh hawa pia ni wadogo zenu muwasaidie nikamjibu sawa.baadae mm na familia yangu tukajitia ndani ya ndinga tunaamsha japo walijidai ooh kuna Mambo ya Mila mm ckujali.
Kuna wakati ctaman kusema mm ni mchaga yaan nataman badili hata ukoo maana hata mwanamke ukimpenda ukimtajia jina la ukoo ana kukwepa.
WACHAGA NI WANA ROHO MBAYA KULIKO SHETANI.
NI WABINAFSI HATARI.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu vipi hawa wa Rombo ukoo wa shirima wanashida gani.?
Mchumba wangu ni wa huko na ukoo wake ni shirima , wanashida yoyote hawa.?
Hapana ni mfano tu, warombo ni wanawake wazuri kwa hakika, wana roho ya utu, hofu ya Mungu na watafutaji pia sio watu wa kubweteka... hata mizigo wanayo si umeona mwenyewe!! Kila la Kheri mkuu.
 
Tatizo mnapenda wachaga lakini wao hawawapendi
Pumbavu sana kaoe /kaolewe kwenu hakuna watu huko? ?
Mimi nimeshuhudia kabsaaaa muhaya kanyimwa kuoa mrangi tena ameshamzalisha
Wazee wake wakampiga pin hawamtaki kabsaaaa huyo binti

Wamemtafutia muhaya mwenzake na ndoa ilishafungwa

Halafu sio lazima kuoa /kuolewa na kabila lingine tafuta wa kwenu kuondoa hizi lawama

Mnapenda kabila fulani kwa vile ni mafighter wa maisha ili unufaike nenda kwenu pumbavu kabsaa
Mbona mimi nimeoa kwetu Singida?
Tunakula maisha Hapa Denmark tuu

Kila kabila lina taratibu zake Hata wanangu nitataka waoe nyumbani

Period. !!!!!!

Mmesikia au niongoze sauti. ????
 
Aiseee..mm Baba angu ni mchaga mama Kabila kingne,
Kiukweli cjawah kuishi uchagan hata lugha yao cjui kuiongea nahc mshua alibobea Sana mjini na alikua anafanya Mambo yake mengi Kwa kificho.huwezi amini Baba alikuja kufunga ndoa kimyakimya na mchaga mwenzake wakaanzisha familia,Mzee cjui alirogwa maana hata matunzo kwetu akawa hatoi mama ndo alitusomesha mungu saidia sasa hv kila mtu ana kazi yake ya maana.
Babu mzaa Baba alipofariki ndio tulienda huko na kukutana na familia nyingine ya Mzee lakini ubaguz ulijionyesha dhahiri..kwakua Nina mpunga wangu wa kutosha na Mzee analijua hilo akawa anajaribu Kama kubalance Mambo Ila mashangazi wakatukazia kimtindo.
Mambo yalipoisha mshua akatutambulisha pale pamoja na kazi tunazofanya nikaona mashangazi mishipa ya uso inawalegea mara ooh hawa pia ni wadogo zenu muwasaidie nikamjibu sawa.baadae mm na familia yangu tukajitia ndani ya ndinga tunaamsha japo walijidai ooh kuna Mambo ya Mila mm ckujali.
Kuna wakati ctaman kusema mm ni mchaga yaan nataman badili hata ukoo maana hata mwanamke ukimpenda ukimtajia jina la ukoo ana kukwepa.
WACHAGA NI WANA ROHO MBAYA KULIKO SHETANI.
NI WABINAFSI HATARI.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kuna dada yangu wa ukoo aliolewa uchagani (yeye ni kabila tofauti), Mume wake akafariki, aisee katika vitu niliona wachaga ni wanyama ni baada ya kumfukuza yule sister kwenye nyumba na kumnyang'anya kila kitu, ikiwa na pamoja na miradi ambayo ingewasaidia kusukuma maisha. Sister akarudi mkoa mwingine kuanza na maisha upya akiwa na watoto wanne, watatu wakiwa shule mmoja ndio alikuwa mdogo. Huwezi amini wale watoto nusura waache shule kwa kukosa ada bahati nzur kama familia tuligawana mtoto mmoja mmoja ndo wakaendelea na shule. Wale watoto ukiwaita wachaga wanakuonesha kuchukia Live... hawapendi kbs hilo kbl ingawa ndo hvy wachaga by birth!!
Wachaga utu kwao ni pesa na mali tu.
 
Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea.

Kwao natambilika ingawa si rasmi. Na swali la kwanza waliloniuliza kwao mimi ni kabila gani.

Wakaonyesha kunipokea na kunijali ingawa haikuwa utambulisho rasmi.
Baada ya miaka yote, nimegundua mwenzangu ameanzisha mahusiano na binti wa kichaga, yupo chuo mkoani.

Nikajaribu kuongea na mwenzangu ambaye aliniambia hayupo serious naye na ndio maana muda wote yupo na mimi na hawezi kuniacha hata itokee nini.

Baada ya siku chache tena mwenzangu akawa anaendeleza mahusiano hadi kupigiana simu zao mbele yangu.

Nilichokifanya ni kumlazimisha jamaa kuchagua jambo moja, mimi au Mchaga mwenzake wa huko chuo.
Mwenzangu alionyesha ugumu sana sana sana kuniacha ila pia kule kwa Mchaga mwenzake pia hataki kuacha.

Anachonieleza ni kuwa amenizoea, namjali, mimi ni part ya maisha yake, hivyo hataki niondoke ila wazazi wake wanataka apeleke mtu Mchaga na si kabila lingine.

Nimeamua kuondoka katika maisha yake ingawa mpaka sasa mwenzangu analeta ugumu sana katika kuchukua vitu vyangu nilivyoacha kwake. Ananidanganya na kunizungusha sana lakini kiukweli maisha anayotaka niyaishi, si maisha ninayoyataka.

Nimehuzunika tu kwa kuwa tumefika mwisho kwa sababu mimi si MCHAGA. Ubaguzi ambao Wachaga wengi wanao.

Nashukuru Mungu kwa kunipa pumzi hii hata nimeweza kulitoa dukuduku hili kwa ndugu zangu wana JF.
Pamoja na comment za kibabe ila kiukweli uwa ninafarijika sana ninaposhare na kukosolewa au kuonyeshwa njia sahihi.
chasaka, unajua makabila mengine tuna tabia za ajabu ajabu sana ndiyo sababu huwa tunaachika sana, hebu angalia hata wagombea urais wa kabila fulani wanayo aibisha na kuonyesha ushamba wa hali ya juu.

Mwanamke wa kichagga anataka mtafutaji, mtu mwenye maono lakini mwenye upeo "best upstairs" ndiyo maana pamoja na kubaguliwa kwa sana na awamu tatu zilizopita za serikali lakini wapo juu tu.
 
Aiseee..mm Baba angu ni mchaga mama Kabila kingne,
Kiukweli cjawah kuishi uchagan hata lugha yao cjui kuiongea nahc mshua alibobea Sana mjini na alikua anafanya Mambo yake mengi Kwa kificho.huwezi amini Baba alikuja kufunga ndoa kimyakimya na mchaga mwenzake wakaanzisha familia,Mzee cjui alirogwa maana hata matunzo kwetu akawa hatoi mama ndo alitusomesha mungu saidia sasa hv kila mtu ana kazi yake ya maana.
Babu mzaa Baba alipofariki ndio tulienda huko na kukutana na familia nyingine ya Mzee lakini ubaguz ulijionyesha dhahiri..kwakua Nina mpunga wangu wa kutosha na Mzee analijua hilo akawa anajaribu Kama kubalance Mambo Ila mashangazi wakatukazia kimtindo.
Mambo yalipoisha mshua akatutambulisha pale pamoja na kazi tunazofanya nikaona mashangazi mishipa ya uso inawalegea mara ooh hawa pia ni wadogo zenu muwasaidie nikamjibu sawa.baadae mm na familia yangu tukajitia ndani ya ndinga tunaamsha japo walijidai ooh kuna Mambo ya Mila mm ckujali.
Kuna wakati ctaman kusema mm ni mchaga yaan nataman badili hata ukoo maana hata mwanamke ukimpenda ukimtajia jina la ukoo ana kukwepa.
WACHAGA NI WANA ROHO MBAYA KULIKO SHETANI.
NI WABINAFSI HATARI.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
mkuu pole haya mapopoma siyo kabisa.
 
sawa wote mmeongea tumepima hoja zenu sasa tunakuja na hitimisho...wachaga sio wote wanakumbatia mila hivyo labda wale walioishi maisha ya ki mila sana ila wale wasomi huwa hawana mambo hayo unaweza kwenda kwake na akakupa binti kiroho safi
 
Mimi mchaga na babangu ananikazia lazima nioe mchaga nikitaka kuoa.japo babangu ni muislamu pure alieshika dini

Ila mimi ni mchaga rebel sina kabisa mambo yao ya kichaga na nitaoa yoyote sitaki limit kwenye maisha yangu.
Uamuzi ni wako Mkuu.
 
Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea.

Kwao natambilika ingawa si rasmi. Na swali la kwanza waliloniuliza kwao mimi ni kabila gani.

Wakaonyesha kunipokea na kunijali ingawa haikuwa utambulisho rasmi.
Baada ya miaka yote, nimegundua mwenzangu ameanzisha mahusiano na binti wa kichaga, yupo chuo mkoani.

Nikajaribu kuongea na mwenzangu ambaye aliniambia hayupo serious naye na ndio maana muda wote yupo na mimi na hawezi kuniacha hata itokee nini.

Baada ya siku chache tena mwenzangu akawa anaendeleza mahusiano hadi kupigiana simu zao mbele yangu.

Nilichokifanya ni kumlazimisha jamaa kuchagua jambo moja, mimi au Mchaga mwenzake wa huko chuo.
Mwenzangu alionyesha ugumu sana sana sana kuniacha ila pia kule kwa Mchaga mwenzake pia hataki kuacha.

Anachonieleza ni kuwa amenizoea, namjali, mimi ni part ya maisha yake, hivyo hataki niondoke ila wazazi wake wanataka apeleke mtu Mchaga na si kabila lingine.

Nimeamua kuondoka katika maisha yake ingawa mpaka sasa mwenzangu analeta ugumu sana katika kuchukua vitu vyangu nilivyoacha kwake. Ananidanganya na kunizungusha sana lakini kiukweli maisha anayotaka niyaishi, si maisha ninayoyataka.

Nimehuzunika tu kwa kuwa tumefika mwisho kwa sababu mimi si MCHAGA. Ubaguzi ambao Wachaga wengi wanao.

Nashukuru Mungu kwa kunipa pumzi hii hata nimeweza kulitoa dukuduku hili kwa ndugu zangu wana JF.
Pamoja na comment za kibabe ila kiukweli uwa ninafarijika sana ninaposhare na kukosolewa au kuonyeshwa njia sahihi.
You are a tough woman indeed!
 
Kiukweli kwa asilimia kubwa Wachaga wana umimi sana. Na si watu wa kuwaamini hata kidogo.
Niliwahi kuwa na rafiki Mchaga, yan tulipanga kufanya biashara fulani na nikachangia mtaji. Alichokuja kukifanya mhhhhh....
Kwa kweli Mungu anaweza akawa anamuepusha na jambo kubwa ambalo litamliza kuliko hili la sasa.
Yani we ulimuamini mchaga tena mwanamke!? Au alikuwa Bf wako?
 
Shukru Mungu wachaga wabinafsi sn umeepushwa na mengi Mungu atakupa mwingine wa kufanana nawe
Hakuna mtu ambae si mbinafsi, Kama huyo dada si mbinafsi mbona hataki kuwa kwenye mahusiano hayo? Anayodai hataki kuwa nayo? Huo ndio ubinafsi namba moja.
 
Back
Top Bottom