Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Vizuri sana mkuu,umebadili Id umefanya sikuoni vizuriNami pia ninahema fresh kwa msaada wa Aliye juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri sana mkuu,umebadili Id umefanya sikuoni vizuriNami pia ninahema fresh kwa msaada wa Aliye juu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Pole mkuu,Haya mapalestina ni bora muyaachage yaoane yenyewe kwa yenyewe tu...tena afadhali yako maana mwanaume ndo alikua mchaga ndo maana ukapata hata hiko kinafasi cha kutambulishwa ukweni
Mahusiano ambayo mwanamke ndo mchaga na mwanaume ni kabila jingine ndo yanakuwaga magumu balaa!!
Ni nadra sana mwanaume asiye mchaga (CHASAKA) kukubaliwa kuoa uchagani maana wanahofiaga kumpoteza member wa ukoo wao.
Kiufupi wachaga ni wabaguzi sana na wana ukabila kiwango cha SGR
Sijabadili mkuuVizuri sana mkuu,umebadili Id umefanya sikuoni vizuri
Sawa boss tuko pamojaSijabadili mkuu
Chapombe unanivunja mbavu zangu[emoji23]Mpenziii...hujamboo?
Alishazoea mitusiKwahyo bila kutukana huoni Raha humu
Unamuamini mchaga eti mchange Hela mfanye biashara jamani. Duu yaani wewe hukupata hata somo kidogo. Ukiona mchaga ana urafiki na wewe kuna kitu anakitafuta kwako ama unamzidi uwezo ila not otherwise.Kiukweli kwa asilimia kubwa Wachaga wana umimi sana. Na si watu wa kuwaamini hata kidogo.
Niliwahi kuwa na rafiki Mchaga, yan tulipanga kufanya biashara fulani na nikachangia mtaji. Alichokuja kukifanya mhhhhh....
Kwa kweli Mungu anaweza akawa anamuepusha na jambo kubwa ambalo litamliza kuliko hili la sasa.
Fact wahaya n'a wachaga ni mwisho wa matatizoHakuna mtanzania asiye mbaguzi isipokuwa mgogo tu!!!!!! Na kabila linaloongoza kwa ubaguzi Tanzania ni WAHAYA!! Wakifuatiwa na wakurya kisha wachagga,
Pole mkuu. Nawajua sana hata ile kununua tu dukani kwako kama sio ndugu yao ni kazi. Kuna muda Nilikuwa nataka kununua vifaa vya kumalizia nyumba Yangu. Nikaenda hapa hardware shops hapa rwagasore Mza, sasa bana nikazama duka moja ivi Kumbe ni mangi. Nikachomoka fasta nikapeleka Hela kwa msukuma.Aiseee..mm Baba angu ni mchaga mama Kabila kingne,
Kiukweli cjawah kuishi uchagan hata lugha yao cjui kuiongea nahc mshua alibobea Sana mjini na alikua anafanya Mambo yake mengi Kwa kificho.huwezi amini Baba alikuja kufunga ndoa kimyakimya na mchaga mwenzake wakaanzisha familia,Mzee cjui alirogwa maana hata matunzo kwetu akawa hatoi mama ndo alitusomesha mungu saidia sasa hv kila mtu ana kazi yake ya maana.
Babu mzaa Baba alipofariki ndio tulienda huko na kukutana na familia nyingine ya Mzee lakini ubaguz ulijionyesha dhahiri..kwakua Nina mpunga wangu wa kutosha na Mzee analijua hilo akawa anajaribu Kama kubalance Mambo Ila mashangazi wakatukazia kimtindo.
Mambo yalipoisha mshua akatutambulisha pale pamoja na kazi tunazofanya nikaona mashangazi mishipa ya uso inawalegea mara ooh hawa pia ni wadogo zenu muwasaidie nikamjibu sawa.baadae mm na familia yangu tukajitia ndani ya ndinga tunaamsha japo walijidai ooh kuna Mambo ya Mila mm ckujali.
Kuna wakati ctaman kusema mm ni mchaga yaan nataman badili hata ukoo maana hata mwanamke ukimpenda ukimtajia jina la ukoo ana kukwepa.
WACHAGA NI WANA ROHO MBAYA KULIKO SHETANI.
NI WABINAFSI HATARI.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Nili cho gundua hapa nchini watu wengi wana chuki na wahaya kwa umbeya tu wakusikia wengi hawajaka nao ila wanawasema vibaya kwanini? Wahaya hawajawahi kua wabaguzi isipo kua sana lugha na utamaduni wao sio wachoyo isipo kua wanathamani mali zao.....Usilete uongo humu... Mhaya na mkurya hawana sifa za ubaguzi labda Kama unataka TU kuchangamsha genge
Kweli kabisaaa Mkuu... Wahaya Ni watu pouwa sana...Nilicho gundua hapa nchini watu wengi wana chiki na wahaya kwa umbeya tu wakusikia wengi hajakaa nao ila wanawasema vibaya kwanini? Wahaya hawajawahi kua wabaguzi isipo kua sana lugha na utamaduni wao sio wachoyo isipo kua wanathamani mali zao.....
Hili tatizo za ukabila katika mahusiano,limekubuhu Sana kwa wachaga na wahaya.Hata huyo atamwacha kisa ni mchaga wa machame.
Baadae atamwacha mchaga wa Rombo kwa sababu ni Ukoo wa Shirima.
Guys hatima ya maisha yako ya baadae kwa maana ya mahusiano unayo wewe, sio ndugu, rafiki wala wazazi. Kuta nne ndizo zitakuwa shahidi wa maisha yenu. Wake up guys!!
Usiwasahau wahaya 😂😂Haya mapalestina ni bora muyaachage yaoane yenyewe kwa yenyewe tu...tena afadhali yako maana mwanaume ndo alikua mchaga ndo maana ukapata hata hiko kinafasi cha kutambulishwa ukweni
Mahusiano ambayo mwanamke ndo mchaga na mwanaume ni kabila jingine ndo yanakuwaga magumu balaa!!
Ni nadra sana mwanaume asiye mchaga (CHASAKA) kukubaliwa kuoa uchagani maana wanahofiaga kumpoteza member wa ukoo wao.
Kiufupi wachaga ni wabaguzi sana na wana ukabila kiwango cha SGR
Ni kwasababu ya utamaduni wao wanamufuata na kuheshimu, wewe kama sio mhaya utamaduni wao utakupa shida sana labda mishi mjini tu bila kusogeza ndgu na jamaaHili tatizo za ukabila katika mahusiano,limekubuhu Sana kwa wachaga na wahaya.