Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Huyo

Huyo bwana alikuwa hakupenda, kwani angempenda kweli kweli asingesikiliza huu upuuzi wa kabila!!! Hujamsikia mwana mfalme ameachia ufalme na kuoa kisura wa kawaida kwasababu ya mapenzi? Vuta subira utapata atakayekupenda kwa dhati!!!
 
Wapi nmesema nataka kuoa?? Wewe mwanaume mbona una king'ang'anizi Kama mwanamke mwenye mimba changa??
Hebu usiniharibie usiku wangu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una drawback ya father abandonment....

Lazima ujenge resentment na anything related to him...

Kuondoa ni mpaka uje umuulize akupe sababu za kila alilofanya wewe ukaona wrong..anaweza kupa sababu ukaja kushangaa how tough it was walking on his shoes....

Hii resentment yako mostly haikusaidia lolote wala haimsaidii baba yako on anything,ni una feed kisasi chako juu yake,until when?Ni forever,you will never find true happiness thereafter....

Una vihela?Yes...ndio unadhani utapata true happiness in those?.....Una vihela,vitarudisha love from your dad you missed when you were younger?No

You missed that love,ni forever...you cant get that back hata uwe 1tril USD..time has passed,you cant turn back the hands of time....

Hating the whole tribe is nonsense maana no one knows shit about you,nobody cares that huwapendi au hutaki kuoa huko,no one knows that opportunity from you at the first place....

Unawachukia the whole tribe kujiridhisha moyo wako selfishly to people who do not know you na wala hawajui lolote
 
Acha hizo wewe.. embrace your identity
 
Well said..
Najua cwez Rudisha upendo uliokwishapotea Ila nafanya hivyo kujifurahisha.huenda mama yangu alizingua Ila ngumu mtoto kuelezwa.ila suala la kuacha Hadi kusomesha watt wako pamoja na kuwapatia mahtaj ya msingi pia shida ....aah

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana.. ungemalizia na neno 'KMMMK'
 

Em tuma picha yako huenda hata si kabila ndo shida
 
Umeambiwa ukweli ukapaa Tu.

We si unaonaga ni Raha kutukatana makabila ya watu ( kwa mihemuko na chuki zako Bila utafiti) lakin wew ukiambiwa ukweli unapinga kama vile wew msafi wa kila kitu.

Bro nyie ni wabaguzi,wabinafsi,wezi na wenye roho mbaya.
Si kweli..acha chuki
 
Si kweli
 
Yaani ukitaka usalama wa roho yako kama wewe si mchaga basi usioe /kuolewa na mchaga....yale matambiko wanayofanyaga Kila mwisho wa mwaka hawatakuruhusu ushiriki maana wewe ni CHASAKA
Chuki na wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…