Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Nmeishi, Uru, machame, Marangu, rombo, tarakea, mashati, mwika, na kibosho muda mrefu sana ,,so I am speaking from experience and I sincerely have no any reason to throw a shade on wachaga for nothing

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha uongo wewe kitalolo.

Hayo maeneo uliyoyataja yote ni tarafa za Mkoa wa Kilimanjaro.

Yaani ulivyokishoia kyasaka unataka kuaminisha watu kwamba umeishi kwenye hizo tarafa zote kitu ambacho hakiwezekani.

Acha kujidai unapajua Kilimanjaro wewe kibulu kilichochacha
 
Pole sana umefanya la maana kuamua kuondoka. Kuhusu vitu vyako gangamara maana inaweza ikabidi kuwahusisha polisi na akiamua anaweza kukutia ndani kwa kudai ushahidi kama ni vitu ni vyako. Kila la heri na baraka na usisahau kuleta mrejesho. Kama yumo humu ANAKUCHORA TU.

 
πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘πŸ½ Eti mambo yao ya Kichagga!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mimi mchaga na babangu ananikazia lazima nioe mchaga nikitaka kuoa.japo babangu ni muislamu pure alieshika dini



Ila mimi ni mchaga rebel sina kabisa mambo yao ya kichaga na nitaoa yoyote sitaki limit kwenye maisha yangu.
 
Hatuna wivu Mkuu...kwani tunatamani Nini KUTOKA huko kwenu mbege?
Bora umenisaidia kumjibu mkuu. Wanaofikiri sisi tunawaonea wivu hebu watulize akili zao na waanze kuupitia uzi upya na comments zote 300+ halafu walinganishe maoni ya wadau wote waliochangia hii mada ndo watapata ukweli kuhusu uozo wa hilo kabila la wapalestina
Wivu, wivu my foot!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana
Ila hii stori yao ya kwenda kuhesabiwa na kuchinja ng'ombe na mbuzi sikukuu ilinivutia, nikawa natamani siku moja na mie nikale nyama huko.
Hahaha....Kama ni kula nyama utakula mpaka uziache lakini ujue kabisa ni nyama za mbuzi/ ng'ombe waliotolewa kafara kwa mizimu ya ukoo wao ili biashara na Mambo yao yaende vizuri mwaka mzima.
Wewe fanya utafiti utagundua kuwa mwanafamilia yeyote ambaye hatashiriki matambiko yale huwa wanamtenga katika ukoo...yaani hili ni kabila la hovyo sijapata kuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…