Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Kwahiyo Kama umeoa mchaga ni lazima umpe ruhusa aende kwao mwisho wa mwaka akashiriki hayo matambiko....ukimkatalia hata hiyo ndoa mbona itavunjika bablai...ni lazima aende ili wasijekumtenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee[emoji848]
Kama ni kweli basi ni hatari.

Mimi sijui mkuu, siwezi comment chochote maana sijawahi fika kabisa mikoa ya kaskazini
 
Umekaribishwa ukiuliza kabila shauri yako. Ila jua nyama utazikimbia wenyewe huko kwenu si mnakula maharage daily [emoji1787][emoji1787]
Nani kakudanganya?
Huku tunakula kitimoto kwa kwenda mbele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh! Noma sana!
anyway mimi mchaga
 
Yaani unavyowadescribe hao wachagga jamani [emoji23][emoji23]
Ila sidhani Kama nyama Zina tatizo.
Mbona ndugu zetu waislam huwa wanawasema sana kuhusu zile nyama za Eid lakini Mimi nimezikula Sana tu pasi na tatizo lolote.
Kula nyama zao wala sio tatizo as long as huhusiki na matambiko yao maana wewe sio mwanafamilia mwenzao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga...wanafundishwa kuiba tangu TU anazaliwa... Wenyewe kupata pesa ndo kipaumbele haijalishi hiyo pesa umeipataje... Ni wezi Sana wadhulimati... Na pia Ni walevi kupindukia...

Kuibia Watu kwao Ni sifa ujanja na ushujuaa
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wizi wa kueleweka sio kuiba kuku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…