Tena hata ukimpiga mtumwa wako akifa siku ya pili huhukumiwi. Tuyalaani mafundisho haya,👇🏾 soma:Quran imeandika biashara ya utumwa hata mtume muhammad kafanya
Nasikia merikebu ya kwanza kupeleka watumwa Amerika iliitwa Jesus, eti ni kweli hiyo?Mwarabu kaanza kufanya biashara ya utumwa kitambo sana, kabla hata ya mzungu hajaja sultani alikuwa na watumwa na ndio walikuwa wanamlimia mashamba, we hujiulizi kwanini mtu qlikuwa anamiliki hadi watumwa maelfu kwa maelfu na kibaya zaidi alikuwa akihitajika kuwakisafirisha kwenda uarabuni watumwa walikuwa wanahasiwa ili wasizalishe ndugu zao
Na wale ambao hawahasiwi walikuwa wanafanya kazi mashambani huko pemba na Unguja uzuri ni kuwa picha zipo na historia imeandikwa
Mzungu alikataa watumwa waliohasiwa, alitaka wale wenye mikuyenge yao na ndio maana kuna kizazi na vizazi vya weusi huko America
Sasa nionyeshe weusi arabuni kama hujapata mia kadhaa tu tena walihamia miaka ya juzi kati tu hapo
All in all mzungu ni mshenzi ila mwarabu ni nyoko
Wazungu wameniletea Modoka.Kwani hao wazungu walikuletea nini? Shanga ili ukatike vizuri, au siyo?
Ushuhuda wa quran? Unaweza kuweka aya? Kama dalili mkuu?
Kama siyo fasihi ni nini kwa uelewa wako! SIKIASasa tuambie huo ufasihi wa Quran utuletee ushahidi usitoe povu tafadhali
nchi za kiarabu hadi leo utumwa ruksaHii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe.
Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na pia wameomba samahani kwa kitendo hicho hadharani. Hii Inathibitisha ukweli umedhihiri na uongo umejitenga. Haki siku zote itabaki ni haki tu. Ukristo uliingia Zanzibar kabla ya kuingia Tanganyika! Ndio maana leo Makanisa ya Mkunazini na Mbweni sasa yanatimiza miaka 400.
Hakuna Kanisa Tanganyika linalofikia hata Miaka 250 - Hakuna, Kuanzia leo Ndugu zetu Wakristo elimisheni jamii Shuleni na sehemu za Makumbusho ya enzi za kale ya kwamba Biashara hiyo kwa kauli na utamshi ilifanywa na Wazungu na sio Waarabu, sisi kama sisi Waislamu na Ndugu zetu Waarabu hatuna budi ya kusema ALHAMDULILAH ALLAHU AKBAR UKWELI UMEDHIHIRIKA NA BATIL IMETAMBULIWA WASHAHADA SHAHIIDUN MIN AHLIHAA.
Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
Mbona hujaleta reference yoyote kutoka ndani ya Quran kutuonyesha hiyo fasihi? Povu lako kawamwagie Hao wachungaji wako kanisaniKama siyo fasihi ni nini kwa uelewa wako! SIKIA
Utazunguka sana Lakini at the point utasema Quran ni neno la Mungu hakuna kingine utasema! Yes I agree kwa ndugu zangu waislam ndicho walichorithi na kuaminishwa kutoka kwa wazazi na wanzilishi wa utamaduni huo. I do respect that
Anza kujiuliza Maswali muhimu ,usiulize MTU jiulize kwa conscious Yako. Mungu ni nini, Mungu ni nani, yupo wapi, Wewe na Mungu mipaka Yenu Iko wapi, kwanini ipo, then fanya ulinganifu wa aina nyingine ya fasihi then be humble.
"MTU anaenda pangoni akirudi anakwambia Mungu kaniambia hivi" yote mawili yanawezekana ama kaambiwa kweli au kajiambia kama ilivyo hakika kwa mwanadamu kujiambia...
IMANI IWAYO AU MAANDIKO YOYOTE YANAYOPINGANA NA ASILI HAYO NI MAN-MADE STORY
mbona wewe pia ni mtumwa wa CCM ?nchi za kiarabu hadi leo utumwa ruksa
mauritania,libya,Saudia,oman,Qatar
kweli we dini inakupeleka vibaya.
Au dini yako inaruhusu kusema uwongo na kuktaa ukweli
was narrated that jabir said: "A slave came and pledged to the Prophet to emigrate, and the Prophet did not realize that he was a slave. Then his master came looking for him. The Prophet said: 'SELL HIM TO ME,' AND HE BOUGHT HIM FOR TWO BLACK SLAVES. Then he did not accept the pledge from anyone until he asked: 'Is he a slave?"'
Sunan an-Nasa'i 4184
Jifunze
The slave who promised to make Hijra was Muslim. He did not disclose his status as anything other than a Muslim.
To allow him to make Hijra without first compensating his master would be comparable to theft. The Muslim was therefore purchased for the exchange of two non Muslim slaves.
After that, Hijra was accepted from the free or those who could be freed; you can not force someone else to give up what (who) is theirs
Kiwango chako Cha udadisi ni Cha kawaida sana, don't hate be humble brotherMbona hujaleta reference yoyote kutoka ndani ya Quran kutuonyesha hiyo fasihi? Povu lako kawamwagie Hao wachungaji wako kanisani
MAALIM ALHAJI NASSORO KANTANTA.
ASAALAM ALYEKUM?.
sijaulizwa hiki unachotaka nijifunze.
Kiwango chako Cha udadisi ni Cha kawaida sana, don't hate be humble brother
ulichokindika hakikanushi kuwa Muhammad hakufanya biashara ya utumwa na mtu mweusi alikuwa na thaman Nusu.Padri John Mavule kabanga
Hilo ndilo jibu la kile ulicholeta
suka au nyoa
ulichokindika hakikanushi kuwa Muhammad hakufanya biashara ya utumwa na mtu mweusi alikuwa na thaman Nusu.
ulichokindika hakikanushi kuwa Muhammad hakufanya biashara ya utumwa na mtu mweusi alikuwa na thaman Nusu.
umesema QURAN halafu unaweka hadith? anyways unasimamia hadith au quran? ili twende sawawas narrated that jabir said: "A slave came and pledged to the Prophet to emigrate, and the Prophet did not realize that he was a slave. Then his master came looking for him. The Prophet said: 'SELL HIM TO ME,' AND HE BOUGHT HIM FOR TWO BLACK SLAVES. Then he did not accept the pledge from anyone until he asked: 'Is he a slave?"'
Sunan an-Nasa'i 4184
Muhammad wakikutana na Musa wa Torah watapigana wauane.ALIFANYA BIASHARA KWANI ALIKUUZA WEWE ??
Wakati wakristo wanaleta utumwa zanzibar wakati huo hao wazanzibari wa wakati huo walikuwa ni watu wa Dini gani ?Hakuna Kanisa Tanganyika linalofikia hata Miaka 250 - Hakuna, Kuanzia leo Ndugu zetu Wakristo elimisheni jamii Shuleni na sehemu za Makumbusho ya enzi za kale ya kwamba Biashara hiyo kwa kauli na utamshi ilifanywa na Wazungu na sio Waarabu, sisi kama sisi Waislamu na Ndugu zetu Waarabu hatuna budi ya kusema ALHAMDULILAH ALLAHU AKBAR UKWELI UMEDHIHIRIKA NA BATIL IMETAMBULIWA WASHAHADA SHAHIIDUN MIN AHLIHAA.