Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

Quran imeandika biashara ya utumwa hata mtume muhammad kafanya
Tena hata ukimpiga mtumwa wako akifa siku ya pili huhukumiwi. Tuyalaani mafundisho haya,👇🏾 soma:

20 Mtu akimpiga mtumwa wake, au kijakazi chake, kwa fimbo, naye akifa mkononi mwake, hana budi ataadhibiwa.
21 Lakini akipona siku moja au mbili hataadhibiwa; maana, ni mali yake.
 
Mwarabu kaanza kufanya biashara ya utumwa kitambo sana, kabla hata ya mzungu hajaja sultani alikuwa na watumwa na ndio walikuwa wanamlimia mashamba, we hujiulizi kwanini mtu qlikuwa anamiliki hadi watumwa maelfu kwa maelfu na kibaya zaidi alikuwa akihitajika kuwakisafirisha kwenda uarabuni watumwa walikuwa wanahasiwa ili wasizalishe ndugu zao

Na wale ambao hawahasiwi walikuwa wanafanya kazi mashambani huko pemba na Unguja uzuri ni kuwa picha zipo na historia imeandikwa

Mzungu alikataa watumwa waliohasiwa, alitaka wale wenye mikuyenge yao na ndio maana kuna kizazi na vizazi vya weusi huko America

Sasa nionyeshe weusi arabuni kama hujapata mia kadhaa tu tena walihamia miaka ya juzi kati tu hapo

All in all mzungu ni mshenzi ila mwarabu ni nyoko
 
Nasikia merikebu ya kwanza kupeleka watumwa Amerika iliitwa Jesus, eti ni kweli hiyo?
 
Ushuhuda wa quran? Unaweza kuweka aya? Kama dalili mkuu?

was narrated that jabir said: "A slave came and pledged to the Prophet to emigrate, and the Prophet did not realize that he was a slave. Then his master came looking for him. The Prophet said: 'SELL HIM TO ME,' AND HE BOUGHT HIM FOR TWO BLACK SLAVES. Then he did not accept the pledge from anyone until he asked: 'Is he a slave?"'

Sunan an-Nasa'i 4184
 
Sasa tuambie huo ufasihi wa Quran utuletee ushahidi usitoe povu tafadhali
Kama siyo fasihi ni nini kwa uelewa wako! SIKIA
Utazunguka sana Lakini at the point utasema Quran ni neno la Mungu hakuna kingine utasema! Yes I agree kwa ndugu zangu waislam ndicho walichorithi na kuaminishwa kutoka kwa wazazi na wanzilishi wa utamaduni huo. I do respect that

Anza kujiuliza Maswali muhimu ,usiulize MTU jiulize kwa conscious Yako. Mungu ni nini, Mungu ni nani, yupo wapi, Wewe na Mungu mipaka Yenu Iko wapi, kwanini ipo, then fanya ulinganifu wa aina nyingine ya fasihi then be humble.

"MTU anaenda pangoni akirudi anakwambia Mungu kaniambia hivi" yote mawili yanawezekana ama kaambiwa kweli au kajiambia kama ilivyo hakika kwa mwanadamu kujiambia...

IMANI IWAYO AU MAANDIKO YOYOTE YANAYOPINGANA NA ASILI HAYO NI MAN-MADE STORY
 
Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe.

Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na pia wameomba samahani kwa kitendo hicho hadharani. Hii Inathibitisha ukweli umedhihiri na uongo umejitenga. Haki siku zote itabaki ni haki tu. Ukristo uliingia Zanzibar kabla ya kuingia Tanganyika! Ndio maana leo Makanisa ya Mkunazini na Mbweni sasa yanatimiza miaka 400.

Hakuna Kanisa Tanganyika linalofikia hata Miaka 250 - Hakuna, Kuanzia leo Ndugu zetu Wakristo elimisheni jamii Shuleni na sehemu za Makumbusho ya enzi za kale ya kwamba Biashara hiyo kwa kauli na utamshi ilifanywa na Wazungu na sio Waarabu, sisi kama sisi Waislamu na Ndugu zetu Waarabu hatuna budi ya kusema ALHAMDULILAH ALLAHU AKBAR UKWELI UMEDHIHIRIKA NA BATIL IMETAMBULIWA WASHAHADA SHAHIIDUN MIN AHLIHAA.

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
nchi za kiarabu hadi leo utumwa ruksa
mauritania,libya,Saudia,oman,Qatar

kweli we dini inakupeleka vibaya.
Au dini yako inaruhusu kusema uwongo na kuktaa ukweli
 
Kama siyo fasihi ni nini kwa uelewa wako! SIKIA
Utazunguka sana Lakini at the point utasema Quran ni neno la Mungu hakuna kingine utasema! Yes I agree kwa ndugu zangu waislam ndicho walichorithi na kuaminishwa kutoka kwa wazazi na wanzilishi wa utamaduni huo. I do respect that

Anza kujiuliza Maswali muhimu ,usiulize MTU jiulize kwa conscious Yako. Mungu ni nini, Mungu ni nani, yupo wapi, Wewe na Mungu mipaka Yenu Iko wapi, kwanini ipo, then fanya ulinganifu wa aina nyingine ya fasihi then be humble.

"MTU anaenda pangoni akirudi anakwambia Mungu kaniambia hivi" yote mawili yanawezekana ama kaambiwa kweli au kajiambia kama ilivyo hakika kwa mwanadamu kujiambia...

IMANI IWAYO AU MAANDIKO YOYOTE YANAYOPINGANA NA ASILI HAYO NI MAN-MADE STORY
Mbona hujaleta reference yoyote kutoka ndani ya Quran kutuonyesha hiyo fasihi? Povu lako kawamwagie Hao wachungaji wako kanisani
 
was narrated that jabir said: "A slave came and pledged to the Prophet to emigrate, and the Prophet did not realize that he was a slave. Then his master came looking for him. The Prophet said: 'SELL HIM TO ME,' AND HE BOUGHT HIM FOR TWO BLACK SLAVES. Then he did not accept the pledge from anyone until he asked: 'Is he a slave?"'

Sunan an-Nasa'i 4184

Jifunze

The slave who promised to make Hijra was Muslim. He did not disclose his status as anything other than a Muslim.

To allow him to make Hijra without first compensating his master would be comparable to theft. The Muslim was therefore purchased for the exchange of two non Muslim slaves.

After that, Hijra was accepted from the free or those who could be freed; you can not force someone else to give up what (who) is theirs
 
MAALIM ALHAJI NASSORO KANTANTA.
ASAALAM ALYEKUM?.

sijaulizwa hiki unachotaka nijifunze.
 
Mbona hujaleta reference yoyote kutoka ndani ya Quran kutuonyesha hiyo fasihi? Povu lako kawamwagie Hao wachungaji wako kanisani
Kiwango chako Cha udadisi ni Cha kawaida sana, don't hate be humble brother
 
Ndio maana nilikutaka wewe mwenye kiwango kikubwa utuletee reference ya hicho unachokitapika hapa ukumbini
 
ulichokindika hakikanushi kuwa Muhammad hakufanya biashara ya utumwa na mtu mweusi alikuwa na thaman Nusu.

Hebu tuangalie Wagalatia 4:28-31

“Basi ninyi, ndugu, mmekuwa wana wa ahadi kama Isaka. Wakati huo yule mtoto aliyezaliwa kwa jinsi ya kawaida alimudhi yule aliyezaliwa kwa uwezo wa Roho. Lakini Maandiko Matakatifu yasemaje, ‘Mwondoe mjakazi na mwanawe, kwa maana mtoto wa mtumwa hatashiriki kamwe urithi pamoja na mwana wa mwanamke huru.
Kwa hiyo, ndugu, sisi si watoto wa mtumwa, bali wa mwanamke huru."

Mstari huu wa Agano Jipya unadharau watoto wanaozaliwa na mama watumwa.

Aya hii haitambui watoto waliozaliwa kutoka kwa mama watumwa kama wana wa kawaida kwa sababu hawaruhusiwi kurithi.

Aya hii haiwatambui watumwa kuwa sawa na wanadamu wa kawaida.

Aya hii inakubaliana kikamilifu 100% na utumwa na watu kuwa watumwa.

Hebu tumtazame Filemoni 15-19

“Labda alitengwa nawe kwa muda kidogo ili umpate tena kwa wema, si mtumwa tena, bali bora kuliko mtumwa, kama ndugu mpendwa. mpendwa zaidi kwangu, lakini hata wewe kama mwanadamu na kama ndugu katika Bwana, basi, kama wanihesabu mimi kuwa mshirika wako, mkaribishe kama vile ambavyo amekukosea au ana deni lolote kwako Naandika hivi kwa mkono wangu mwenyewe, bila kutaja kwamba una deni langu mwenyewe.

Mstari huu ni uthibitisho mwingine

Hebu tuangalie 1 Wakorintho 7

“Je! na mtu huru wa Bwana vivyo hivyo, yeye aliyekuwa mtu huru alipoitwa ni mtumwa wa Kristo.

Katika mstari huu, Paulo alikuwa anamuuliza mtu huyo "Je! ulikuwa mtumwa?" maana Ulikuwa kitu kibaya na sio kawaida?

Pia “...ikiwa unaweza kupata uhuru wako, fanya hivyo... ( 1 Wakorintho 7)”

ambayo ina maana kwamba Agano Jipya halitamsaidia mtu yeyote wala halimtaki Mkristo yeyote kupigania haki za mtumwa yeyote ili aachiliwe.

Mtumwa atalazimika kuishi kama mtumwa na kufa kama mtumwa, au kupigania uhuru wake dhidi ya Wakristo.

Hebu tuangalie 1Timotheo 6:1

"Wote walio chini ya nira ya utumwa na wawahesabu bwana zao kuwa wanastahili heshima kamili, lisitukanwe jina la Mungu na mafundisho yetu."

Mathayo 10:24 "Mwanafunzi si mkuu kuliko mwalimu. Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake."

Hebu tuangalie 1Petro 2:18

"Enyi watumwa, watiini mabwana zenu kwa heshima yote, si kwa walio wema na wastahiki tu, bali na walio wakali."

Hebu tuangalie Wakolosai 3:22

“Enyi watumwa, watiini mabwana zenu wa kidunia katika kila jambo;
 
was narrated that jabir said: "A slave came and pledged to the Prophet to emigrate, and the Prophet did not realize that he was a slave. Then his master came looking for him. The Prophet said: 'SELL HIM TO ME,' AND HE BOUGHT HIM FOR TWO BLACK SLAVES. Then he did not accept the pledge from anyone until he asked: 'Is he a slave?"'

Sunan an-Nasa'i 4184
umesema QURAN halafu unaweka hadith? anyways unasimamia hadith au quran? ili twende sawa
 
Hakuna Kanisa Tanganyika linalofikia hata Miaka 250 - Hakuna, Kuanzia leo Ndugu zetu Wakristo elimisheni jamii Shuleni na sehemu za Makumbusho ya enzi za kale ya kwamba Biashara hiyo kwa kauli na utamshi ilifanywa na Wazungu na sio Waarabu, sisi kama sisi Waislamu na Ndugu zetu Waarabu hatuna budi ya kusema ALHAMDULILAH ALLAHU AKBAR UKWELI UMEDHIHIRIKA NA BATIL IMETAMBULIWA WASHAHADA SHAHIIDUN MIN AHLIHAA.
Wakati wakristo wanaleta utumwa zanzibar wakati huo hao wazanzibari wa wakati huo walikuwa ni watu wa Dini gani ?
 
Back
Top Bottom