ulichokindika hakikanushi kuwa Muhammad hakufanya biashara ya utumwa na mtu mweusi alikuwa na thaman Nusu.
Hebu tuangalie Wagalatia 4:28-31
“Basi ninyi, ndugu, mmekuwa wana wa ahadi kama Isaka. Wakati huo yule mtoto aliyezaliwa kwa jinsi ya kawaida alimudhi yule aliyezaliwa kwa uwezo wa Roho. Lakini Maandiko Matakatifu yasemaje, ‘Mwondoe mjakazi na mwanawe, kwa maana mtoto wa mtumwa hatashiriki kamwe urithi pamoja na mwana wa mwanamke huru.
Kwa hiyo, ndugu, sisi si watoto wa mtumwa, bali wa mwanamke huru."
Mstari huu wa Agano Jipya unadharau watoto wanaozaliwa na mama watumwa.
Aya hii haitambui watoto waliozaliwa kutoka kwa mama watumwa kama wana wa kawaida kwa sababu hawaruhusiwi kurithi.
Aya hii haiwatambui watumwa kuwa sawa na wanadamu wa kawaida.
Aya hii inakubaliana kikamilifu 100% na utumwa na watu kuwa watumwa.
Hebu tumtazame Filemoni 15-19
“Labda alitengwa nawe kwa muda kidogo ili umpate tena kwa wema, si mtumwa tena, bali bora kuliko mtumwa, kama ndugu mpendwa. mpendwa zaidi kwangu, lakini hata wewe kama mwanadamu na kama ndugu katika Bwana, basi, kama wanihesabu mimi kuwa mshirika wako, mkaribishe kama vile ambavyo amekukosea au ana deni lolote kwako Naandika hivi kwa mkono wangu mwenyewe, bila kutaja kwamba una deni langu mwenyewe.
Mstari huu ni uthibitisho mwingine
Hebu tuangalie 1 Wakorintho 7
“Je! na mtu huru wa Bwana vivyo hivyo, yeye aliyekuwa mtu huru alipoitwa ni mtumwa wa Kristo.
Katika mstari huu, Paulo alikuwa anamuuliza mtu huyo "Je! ulikuwa mtumwa?" maana Ulikuwa kitu kibaya na sio kawaida?
Pia “...ikiwa unaweza kupata uhuru wako, fanya hivyo... ( 1 Wakorintho 7)”
ambayo ina maana kwamba Agano Jipya halitamsaidia mtu yeyote wala halimtaki Mkristo yeyote kupigania haki za mtumwa yeyote ili aachiliwe.
Mtumwa atalazimika kuishi kama mtumwa na kufa kama mtumwa, au kupigania uhuru wake dhidi ya Wakristo.
Hebu tuangalie 1Timotheo 6:1
"Wote walio chini ya nira ya utumwa na wawahesabu bwana zao kuwa wanastahili heshima kamili, lisitukanwe jina la Mungu na mafundisho yetu."
Mathayo 10:24 "Mwanafunzi si mkuu kuliko mwalimu. Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake."
Hebu tuangalie 1Petro 2:18
"Enyi watumwa, watiini mabwana zenu kwa heshima yote, si kwa walio wema na wastahiki tu, bali na walio wakali."
Hebu tuangalie Wakolosai 3:22
“Enyi watumwa, watiini mabwana zenu wa kidunia katika kila jambo;