MUWHWELA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 167
- 238
Kama siyo fasihi ni nini? ONDOA emotional ruhusu akili ifikiriLabda biblia ya kanisa lako ndio ni fasihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama siyo fasihi ni nini? ONDOA emotional ruhusu akili ifikiriLabda biblia ya kanisa lako ndio ni fasihi
Ndio ni fasihi na alimaanisha ilikuwa fashi simulizi mpaka hapo Vatikani walipoamua kuiandika kama fasihi andishi kama kitabu kinachoitwa bibilia na sio Injili ili baadae wawezekuongezea utumbo wao kama sasa mashoga ni ruksaKama siyo fasihi ni nini? ONDOA emotional ruhusu akili ifikiri
Umeanza kuelewa Taratibu,umesema ukweli mtupu ,Sasa hata kitabu chako unachokiamini kilishushwa kuwa huru kidogo kijue nani aliandika ... Mimi ni Muuumini wa fasihi zote maana fasihi zote context yake ni moja ....Niko na aina hiyo ya utajiriNdio ni fasihi na alimaanisha ilikuwa fashi simulizi mpaka hapo Vatikani walipoamua kuiandika kama fasihi andishi kama kitabu kinachoitwa bibilia na sio Injili ili baadae wawezekuongezea utumbo wao kama sasa mashoga ni ruksa
Sasa wewe unatumia bibilia au Injili ?
Hii umeitoa kwenye hadith gani?Nachokijua mimi, mtume Muhammad baada tu ya kumuoa bi khadija alimuamuru Mkewe yaani bi khadija awaachie huru watumwa wake wote.
NB. Mtume alitokea familia maskini hakuwahi kumiliki watumwa zaidi ya kuwapa uhuru wale aliowakuta kwa mke wake.
Usiandike kitu usichokijua
Kama siyo fasihi ni nini? ONDOA emotional ruhusu akili ifikiri
Uliwahi kuisoma ukaona ni fasihi ??
Ushuhuda wa quran? Unaweza kuweka aya? Kama dalili mkuu?Kwa ushuhuda wa Quran Muhammad alimiliki watumwa na watumwa weusi walikuwana thaman nusu kuliko watumwa wa rangi nyingine.
Wazungu wanakili kuhuska kufanya utumwa ila wakilengwa waarabu mtu mweusi anawakingia kifua just because walimletea Dini.
MI ningeomba aya za quran zinazoongelea utumwa na je zinaongeleaje? Na tulinganishe na za bibliaQuran imeandika biashara ya utumwa hata mtume muhammad kafanya
So what?Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe.
Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na pia wameomba samahani kwa kitendo hicho hadharani. Hii Inathibitisha ukweli umedhihiri na uongo umejitenga. Haki siku zote itabaki ni haki tu. Ukristo uliingia Zanzibar kabla ya kuingia Tanganyika! Ndio maana leo Makanisa ya Mkunazini na Mbweni sasa yanatimiza miaka 400.
Hakuna Kanisa Tanganyika linalofikia hata Miaka 250 - Hakuna, Kuanzia leo Ndugu zetu Wakristo elimisheni jamii Shuleni na sehemu za Makumbusho ya enzi za kale ya kwamba Biashara hiyo kwa kauli na utamshi ilifanywa na Wazungu na sio Waarabu, sisi kama sisi Waislamu na Ndugu zetu Waarabu hatuna budi ya kusema ALHAMDULILAH ALLAHU AKBAR UKWELI UMEDHIHIRIKA NA BATIL IMETAMBULIWA WASHAHADA SHAHIIDUN MIN AHLIHAA.
Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
Ndiyo!!!! Kitu ambacho huelewi ni kitu KIMOJA tu kitabu chako kina story au hadithi za KUSADIKIKA kama vingine tu no new concept.. (HII HAINA MAANA KWAMBA SIHESHIMU WALA SITHAMINI MAWAZO YA WENGINE) Ninao uhuru kwa kuwa na maoni yangu yenye staha kwako.
Kama kweli unayoyaamini kwenye kitabu chako you take it as kweli yalitokea na yatatokea Iko shida mahala kwenye brain Yako which Umekuwa brainwashed kwa kiwango Cha juu kabisa...Mwarabu na mzungu hawapaswi kutetewa wanapaswa kuambiwa UKWELI
Kama hawakuanzisha, je pia hawakufanya hiyo biashara haramu moja kwa moja ama kupitia uwakala?Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe.
Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na pia wameomba samahani kwa kitendo hicho hadharani. Hii Inathibitisha ukweli umedhihiri na uongo umejitenga. Haki siku zote itabaki ni haki tu. Ukristo uliingia Zanzibar kabla ya kuingia Tanganyika! Ndio maana leo Makanisa ya Mkunazini na Mbweni sasa yanatimiza miaka 400.
Hakuna Kanisa Tanganyika linalofikia hata Miaka 250 - Hakuna, Kuanzia leo Ndugu zetu Wakristo elimisheni jamii Shuleni na sehemu za Makumbusho ya enzi za kale ya kwamba Biashara hiyo kwa kauli na utamshi ilifanywa na Wazungu na sio Waarabu, sisi kama sisi Waislamu na Ndugu zetu Waarabu hatuna budi ya kusema ALHAMDULILAH ALLAHU AKBAR UKWELI UMEDHIHIRIKA NA BATIL IMETAMBULIWA WASHAHADA SHAHIIDUN MIN AHLIHAA.
Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
Watasema imepikwa.Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe.

= wanakiriKwa ushuhuda wa Quran Muhammad alimiliki watumwa na watumwa weusi walikuwana thaman nusu kuliko watumwa wa rangi nyingine.
Wazungu wanakili kuhuska kufanya utumwa ila wakilengwa waarabu mtu mweusi anawakingia kifua just because walimletea Dini.
Kanisa na maaskofu hapo wanawapigia "propaganda" Waarabu, au siyo?Hebu punguza propaganda za waarabu kujihusisha na utumwa wakati historia ipo wazi akina tip tipu wakifanya ulanguzi wa kuuza watu. Ungesema wazungu walinunua watumwa toka kwa waarabu/waislam ungeeleweka. Au ungesema walihodhi biashara ni wazungu na waarabu walikuwa ni mawakala tu ungeeleweka. Sasa wazungu wameomba radhi kwa upande wao, na waarabu nao wanapaswa kuomba radhi kwa ushiriki wao, acha kurukaruka kwa kushangilia huku ukishadidia uislam wako wakati madhara ya uislam yangalipo hata sasa jamii imezama kwenye tope zito la uislam/utumwa na ni shughuli pevu kuinasua itoke kwenye utumwa huo wa kifikra na kitamaduni toka ng'ambo
Wewe umeielewa post #1?Haliwezi kukuelewa hilo!
Kwani hao wazungu walikuletea nini? Shanga ili ukatike vizuri, au siyo?Kwa ushuhuda wa Quran Muhammad alimiliki watumwa na watumwa weusi walikuwana thaman nusu kuliko watumwa wa rangi nyingine.
Wazungu wanakili kuhuska kufanya utumwa ila wakilengwa waarabu mtu mweusi anawakingia kifua just because walimletea Dini.
Babu yako hakuuza aatumwa kwa shanga na kioo?hao makafiri ni waarabu
Tuoneshe hiyo aya.Quran imeandika biashara ya utumwa hata mtume muhammad kafanya