Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

Kama siyo fasihi ni nini? ONDOA emotional ruhusu akili ifikiri
Ndio ni fasihi na alimaanisha ilikuwa fashi simulizi mpaka hapo Vatikani walipoamua kuiandika kama fasihi andishi kama kitabu kinachoitwa bibilia na sio Injili ili baadae wawezekuongezea utumbo wao kama sasa mashoga ni ruksa
Sasa wewe unatumia bibilia au Injili ?
 
Umeanza kuelewa Taratibu,umesema ukweli mtupu ,Sasa hata kitabu chako unachokiamini kilishushwa kuwa huru kidogo kijue nani aliandika ... Mimi ni Muuumini wa fasihi zote maana fasihi zote context yake ni moja ....Niko na aina hiyo ya utajiri
 
Mzungu alikuw anafny biashar hyo lakin pia mwarabu.baada ya industrial revolution,mzungu akaisitisha hyo biashara(abolition of slave trade)kwakufany hvyo bac alimtaka mwarabu alifunge soko hlo la kuuza/kununua watumwa.haikutumia nadharia ya udini hapa hvyo tuclete matabaka hap katik dini zetu sis sote ni wamoja
 
Nachokijua mimi, mtume Muhammad baada tu ya kumuoa bi khadija alimuamuru Mkewe yaani bi khadija awaachie huru watumwa wake wote.
NB. Mtume alitokea familia maskini hakuwahi kumiliki watumwa zaidi ya kuwapa uhuru wale aliowakuta kwa mke wake.
Usiandike kitu usichokijua
Hii umeitoa kwenye hadith gani?
Share nasi.

Sahih Muslim inasimulia habari za mtumwa wa mtume aliyeitwa Safina.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-08-26-23-14-12-400_com.openai.chatgpt~2.jpg
    Screenshot_2024-08-26-23-14-12-400_com.openai.chatgpt~2.jpg
    78.5 KB · Views: 2
Ndiyo!!!! Kitu ambacho huelewi ni kitu KIMOJA tu kitabu chako kina story au hadithi za KUSADIKIKA kama vingine tu no new concept.. (HII HAINA MAANA KWAMBA SIHESHIMU WALA SITHAMINI MAWAZO YA WENGINE) Ninao uhuru kwa kuwa na maoni yangu yenye staha kwako.

Kama kweli unayoyaamini kwenye kitabu chako you take it as kweli yalitokea na yatatokea Iko shida mahala kwenye brain Yako which Umekuwa brainwashed kwa kiwango Cha juu kabisa...Mwarabu na mzungu hawapaswi kutetewa wanapaswa kuambiwa UKWELI
Uliwahi kuisoma ukaona ni fasihi ??
 
Kwa ushuhuda wa Quran Muhammad alimiliki watumwa na watumwa weusi walikuwana thaman nusu kuliko watumwa wa rangi nyingine.
Wazungu wanakili kuhuska kufanya utumwa ila wakilengwa waarabu mtu mweusi anawakingia kifua just because walimletea Dini.
Ushuhuda wa quran? Unaweza kuweka aya? Kama dalili mkuu?
 
Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe.

Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na pia wameomba samahani kwa kitendo hicho hadharani. Hii Inathibitisha ukweli umedhihiri na uongo umejitenga. Haki siku zote itabaki ni haki tu. Ukristo uliingia Zanzibar kabla ya kuingia Tanganyika! Ndio maana leo Makanisa ya Mkunazini na Mbweni sasa yanatimiza miaka 400.

Hakuna Kanisa Tanganyika linalofikia hata Miaka 250 - Hakuna, Kuanzia leo Ndugu zetu Wakristo elimisheni jamii Shuleni na sehemu za Makumbusho ya enzi za kale ya kwamba Biashara hiyo kwa kauli na utamshi ilifanywa na Wazungu na sio Waarabu, sisi kama sisi Waislamu na Ndugu zetu Waarabu hatuna budi ya kusema ALHAMDULILAH ALLAHU AKBAR UKWELI UMEDHIHIRIKA NA BATIL IMETAMBULIWA WASHAHADA SHAHIIDUN MIN AHLIHAA.

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
So what?
 
Ndiyo!!!! Kitu ambacho huelewi ni kitu KIMOJA tu kitabu chako kina story au hadithi za KUSADIKIKA kama vingine tu no new concept.. (HII HAINA MAANA KWAMBA SIHESHIMU WALA SITHAMINI MAWAZO YA WENGINE) Ninao uhuru kwa kuwa na maoni yangu yenye staha kwako.

Kama kweli unayoyaamini kwenye kitabu chako you take it as kweli yalitokea na yatatokea Iko shida mahala kwenye brain Yako which Umekuwa brainwashed kwa kiwango Cha juu kabisa...Mwarabu na mzungu hawapaswi kutetewa wanapaswa kuambiwa UKWELI

Sasa tuambie huo ufasihi wa Quran utuletee ushahidi usitoe povu tafadhali
 
Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe.

Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na pia wameomba samahani kwa kitendo hicho hadharani. Hii Inathibitisha ukweli umedhihiri na uongo umejitenga. Haki siku zote itabaki ni haki tu. Ukristo uliingia Zanzibar kabla ya kuingia Tanganyika! Ndio maana leo Makanisa ya Mkunazini na Mbweni sasa yanatimiza miaka 400.

Hakuna Kanisa Tanganyika linalofikia hata Miaka 250 - Hakuna, Kuanzia leo Ndugu zetu Wakristo elimisheni jamii Shuleni na sehemu za Makumbusho ya enzi za kale ya kwamba Biashara hiyo kwa kauli na utamshi ilifanywa na Wazungu na sio Waarabu, sisi kama sisi Waislamu na Ndugu zetu Waarabu hatuna budi ya kusema ALHAMDULILAH ALLAHU AKBAR UKWELI UMEDHIHIRIKA NA BATIL IMETAMBULIWA WASHAHADA SHAHIIDUN MIN AHLIHAA.

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
Kama hawakuanzisha, je pia hawakufanya hiyo biashara haramu moja kwa moja ama kupitia uwakala?

Akina Tippi Tippu ni kina nani?
 
Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe.

Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na pia wameomba samahani kwa kitendo hicho hadharani. Hii Inathibitisha ukweli umedhihiri na uongo umejitenga. Haki siku zote itabaki ni haki tu. Ukristo uliingia Zanzibar kabla ya kuingia Tanganyika! Ndio maana leo Makanisa ya Mkunazini na Mbweni sasa yanatimiza miaka 400.

Hakuna Kanisa Tanganyika linalofikia hata Miaka 250 - Hakuna, Kuanzia leo Ndugu zetu Wakristo elimisheni jamii Shuleni na sehemu za Makumbusho ya enzi za kale ya kwamba Biashara hiyo kwa kauli na utamshi ilifanywa na Wazungu na sio Waarabu, sisi kama sisi Waislamu na Ndugu zetu Waarabu hatuna budi ya kusema ALHAMDULILAH ALLAHU AKBAR UKWELI UMEDHIHIRIKA NA BATIL IMETAMBULIWA WASHAHADA SHAHIIDUN MIN AHLIHAA.

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
Watasema imepikwa.
 
Kwa ushuhuda wa Quran Muhammad alimiliki watumwa na watumwa weusi walikuwana thaman nusu kuliko watumwa wa rangi nyingine.
Wazungu wanakili kuhuska kufanya utumwa ila wakilengwa waarabu mtu mweusi anawakingia kifua just because walimletea Dini.
= wanakiri

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hebu punguza propaganda za waarabu kujihusisha na utumwa wakati historia ipo wazi akina tip tipu wakifanya ulanguzi wa kuuza watu. Ungesema wazungu walinunua watumwa toka kwa waarabu/waislam ungeeleweka. Au ungesema walihodhi biashara ni wazungu na waarabu walikuwa ni mawakala tu ungeeleweka. Sasa wazungu wameomba radhi kwa upande wao, na waarabu nao wanapaswa kuomba radhi kwa ushiriki wao, acha kurukaruka kwa kushangilia huku ukishadidia uislam wako wakati madhara ya uislam yangalipo hata sasa jamii imezama kwenye tope zito la uislam/utumwa na ni shughuli pevu kuinasua itoke kwenye utumwa huo wa kifikra na kitamaduni toka ng'ambo
Kanisa na maaskofu hapo wanawapigia "propaganda" Waarabu, au siyo?
 
Kwa ushuhuda wa Quran Muhammad alimiliki watumwa na watumwa weusi walikuwana thaman nusu kuliko watumwa wa rangi nyingine.
Wazungu wanakili kuhuska kufanya utumwa ila wakilengwa waarabu mtu mweusi anawakingia kifua just because walimletea Dini.
Kwani hao wazungu walikuletea nini? Shanga ili ukatike vizuri, au siyo?
 
Back
Top Bottom