Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Mheshimiwa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza swali lisiloweza kujibika hapa, lakini ni swali zuri sana.Ndio ndio!
Tafakuri!
"Wakati wanajeshi wetu wanamwaga damu mpakani kizalendo kulinda mipaka yetu,wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu,je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?
Hata kwa Afrika pekee, Tanzania sasa inatia fora! Lazima kutakuwepo na sababu maalum.China walimpa kikwete Uprofessa kabisa wakalamba bandari ya bagamoyo
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hii laana aisee, yani unampiga hadi maza aliyekuzaa?!😁Kuna jamaa alikua anataka kununua simu nikamwambia anipe 230,000 akakubali, ila qkaniambia kuna mteja anamleta nimwambie bei ni 260,000 iyo 30,000 atakuja kuichukua.
Kilicho nishangaza ni kwamba yule mteja aliye letwa alikua mama mzazi wa yule jamaa, yaani mtoto kamdalali mama yake.
Kwahyo usishangae kuona yanayotokea huko juu, tama imekua kwa kasi。
Wewe jamaa unataka kuua watu kwa vicheko! Nimecheka hadi machozi yamenitoka!Kuna jamaa alikua anataka kununua simu nikamwambia anipe 230,000 akakubali, ila qkaniambia kuna mteja anamleta nimwambie bei ni 260,000 iyo 30,000 atakuja kuichukua.
Kilicho nishangaza ni kwamba yule mteja aliye letwa alikua mama mzazi wa yule jamaa, yaani mtoto kamdalali mama yake.
Kwahyo usishangae kuona yanayotokea huko juu, tama imekua kwa kasi。
Hebu tueleze wewe mwenye ushahidi ili tuondoe wasiwasi. Unatudai ushahidi, huku ushahidi wenyewe mmeukalia wenyewe, hili siyo jambo la kushangaza kwako?Huo mkataba upo wapi sio kila mtu kauona? Vipengele gani vya mkataba vina walakini?
Nyie watanganyika mnapoleta habari muwe mnaleta na ushahidi otherwise ni umbea na udaku kama mwingine wote hamna tofauti na hao mnaowaponda.
Mtu mweusi mpe sifa, vingine utachukua. Ndio haya yanayoendelea. Its sad mpaka karne hii elimu haijatusaidia kutoka usingiziniNyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?
Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!
Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.
Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa kwa udi na uvumba. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo wa kweli hawezi kufanya jambo kustajaabisha kama hili.
I'm so wonders kwakweli (kwa sauti ya Steve Nyerere).
PIA SOMA
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Wakujibu wanaolinda kwa mtu? Au wote tunajibu?Ndio ndio!
Tafakuri!
"Wakati wanajeshi wetu wanamwaga damu mpakani kizalendo kulinda mipaka yetu,wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu,je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?
Hao wanajeshi hawalipwi?Ndio ndio!
Tafakuri!
"Wakati wanajeshi wetu wanamwaga damu mpakani kizalendo kulinda mipaka yetu,wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu,je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?
🤣 🤣 🤣Mheshimiwa Mungu
Hebu tueleze wewe mwenye ushahidi ili tuondoe wasiwasi. Unatudai ushahidi, huku ushahidi wenyewe mmeukalia wenyewe, hili siyo jambo la kushangaza kwako?
Tumebadilishana rasilimali za nchi na PhDNyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?
Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!
Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.
Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa kwa udi na uvumba. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo wa kweli hawezi kufanya jambo kustajaabisha kama hili.
I'm so wonders kwakweli (kwa sauti ya Steve Nyerere).
PIA SOMA
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Lisu anapambana sn tuache utaniTurudi kwenye hoja
Magufuli na huyu hangaya nani bora?
Ccm wanafanya haya yote bila wasi sababu wanajua hakuna tutakachowafanya.
Upinzani wa sasa wanaumiliki wao.
Hakuna kwakukimbilia.
Ila kwa mustakabali wa amani ya Tanzania ccm wanatuingiza kwenye hatari kubwa.
Hali ya uchumi ni mbaya sana huku tukishuhudia wateule wachache wakila kuku kwa mlija.
Wananchi watafikia hawana cha kupoteza. Itakuwa ni rahisi kwa vijana kushawishiwa na kuingia kwenye makundi ya ajabu.
Mungu tunusuru. Huyu mama asigombee tena 2025.
Mhhh nime sahau nilitaka kuandika nini.Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?