Tumebadilishana rasilimali za nchi na PhD?

Ndio ndio!

Tafakuri!

"Wakati wanajeshi wetu wanamwaga damu mpakani kizalendo kulinda mipaka yetu,wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu,je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?
Umeuliza swali lisiloweza kujibika hapa, lakini ni swali zuri sana.

Mimi nauliza tu, huu ujasiri wa huyu na wanaomshangilia katika kutapanya raslimali zetu, huu ujasiri unatoka wapi?
Wameangalia na kuona hakuna anayeweza kuwafanya lolote? Huu ni ujasiri wa kipekee sana.
 
Kuna jamaa alikua anataka kununua simu nikamwambia anipe 230,000 akakubali, ila qkaniambia kuna mteja anamleta nimwambie bei ni 260,000 iyo 30,000 atakuja kuichukua.

Kilicho nishangaza ni kwamba yule mteja aliye letwa alikua mama mzazi wa yule jamaa, yaani mtoto kamdalali mama yake.

Kwahyo usishangae kuona yanayotokea huko juu, tama imekua kwa kasi。
Hii laana aisee, yani unampiga hadi maza aliyekuzaa?!😁
 
Kuna jamaa alikua anataka kununua simu nikamwambia anipe 230,000 akakubali, ila qkaniambia kuna mteja anamleta nimwambie bei ni 260,000 iyo 30,000 atakuja kuichukua.

Kilicho nishangaza ni kwamba yule mteja aliye letwa alikua mama mzazi wa yule jamaa, yaani mtoto kamdalali mama yake.

Kwahyo usishangae kuona yanayotokea huko juu, tama imekua kwa kasi。
Wewe jamaa unataka kuua watu kwa vicheko! Nimecheka hadi machozi yamenitoka!
Lakini kuna funzo muhimu sana katika habari yako hiyo.
Huyu mama yetu anayetulangua sasa hivi hana uchungu wowote na hali zetu. Huyu imetokea tu kwa bahati nzuri kwake na mbaya kwetu kaukwaa urais; hana lolote moyoni mwake linalomsuta kuhusu hali ya nchi hii. Anatumia tu nafasi hiyo kujinufaisha na kunufaisha huko anakokuona ndio kwao.
 
Huo mkataba upo wapi sio kila mtu kauona? Vipengele gani vya mkataba vina walakini?

Nyie watanganyika mnapoleta habari muwe mnaleta na ushahidi otherwise ni umbea na udaku kama mwingine wote hamna tofauti na hao mnaowaponda.
Hebu tueleze wewe mwenye ushahidi ili tuondoe wasiwasi. Unatudai ushahidi, huku ushahidi wenyewe mmeukalia wenyewe, hili siyo jambo la kushangaza kwako?
 
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?

Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!

Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.

Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa kwa udi na uvumba. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo wa kweli hawezi kufanya jambo kustajaabisha kama hili.

I'm so wonders kwakweli (kwa sauti ya Steve Nyerere).

PIA SOMA
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Mtu mweusi mpe sifa, vingine utachukua. Ndio haya yanayoendelea. Its sad mpaka karne hii elimu haijatusaidia kutoka usingizini
 
Akili ndogo inaendelea kutu cost kama taifa, mpaka aondoke madarakani huyu Rais atatuacha hatuna thamani yoyote zaidi ya kuhangaika kulipa madeni huku rasilimali zetu akiwa amezitoa kwa wageni, Samia amekuja kutuachia umaskini watanganyika.
 
Turudi kwenye hoja
Magufuli na huyu hangaya nani bora?
Ccm wanafanya haya yote bila wasi sababu wanajua hakuna tutakachowafanya.
Upinzani wa sasa wanaumiliki wao.
Hakuna kwakukimbilia.
Ila kwa mustakabali wa amani ya Tanzania ccm wanatuingiza kwenye hatari kubwa.
Hali ya uchumi ni mbaya sana huku tukishuhudia wateule wachache wakila kuku kwa mlija.
Wananchi watafikia hawana cha kupoteza. Itakuwa ni rahisi kwa vijana kushawishiwa na kuingia kwenye makundi ya ajabu.
Mungu tunusuru. Huyu mama asigombee tena 2025.
 
Alisema atakua anasafiri na wasanii, yaani wasanii kina kondeboy, top in dar(TID) Chid Benz, Ray C, Ambarutty, darasa, Kingwendu ndio wanaomshauri siku hizi.
 
Hebu tueleze wewe mwenye ushahidi ili tuondoe wasiwasi. Unatudai ushahidi, huku ushahidi wenyewe mmeukalia wenyewe, hili siyo jambo la kushangaza kwako?

Ushahidi gani? Mada nimeleta mimi?

Burden of proof anatoa mleta madai siku zote. Nikikwambia fulani kafanya uhalifu inabidi nikupe na ushahidi sio wewe mpokea taarifa utoe ushahidi.

Mkianza kujiandikia na kutaka watu tuamini tu huo ni uzwazwa, wengine tushapita hiyo hatua hata kama hatuwapendi watu hatuamini tu kama nyie nyumbu.
 
Huyo ndio mwana mama anayeona ni bora sasa aanze kuzunguka na wasanii duniani akiomba mikopo ya kishenzi, hii ni kama laana hivi.

Wakorea waliona kuna mwanya wa kulaghai kiongozi mkuu wa nchi kwa kumtunuku Phd kwa sababu ya ulevi wa sifa za kijinga kama ule wa enzi za ukoloni, unamchukua chifu w Jamii unampa kioo cha kujitazama then yeye anakuachia sehemu ya ardhi na madini ufanye unavyotaka, ndio yanayotokea sasa hivi.

Unakopa alafu unatoa rasilimali miaka 40, sasa hapo unakuwa umekopa, umeuza ama umefanya nini??!!!
 
Kuna kitu kinatakiwa kifanyike Tz ili tuweze kutoka hapa tulipo!
Bila hivyo ujinga, na uhayawani hautakoma kabisa Nchi hii
 
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?

Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!

Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.

Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa kwa udi na uvumba. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo wa kweli hawezi kufanya jambo kustajaabisha kama hili.

I'm so wonders kwakweli (kwa sauti ya Steve Nyerere).

PIA SOMA
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Tumebadilishana rasilimali za nchi na PhD
 
Turudi kwenye hoja
Magufuli na huyu hangaya nani bora?
Ccm wanafanya haya yote bila wasi sababu wanajua hakuna tutakachowafanya.
Upinzani wa sasa wanaumiliki wao.
Hakuna kwakukimbilia.
Ila kwa mustakabali wa amani ya Tanzania ccm wanatuingiza kwenye hatari kubwa.
Hali ya uchumi ni mbaya sana huku tukishuhudia wateule wachache wakila kuku kwa mlija.
Wananchi watafikia hawana cha kupoteza. Itakuwa ni rahisi kwa vijana kushawishiwa na kuingia kwenye makundi ya ajabu.
Mungu tunusuru. Huyu mama asigombee tena 2025.
Lisu anapambana sn tuache utani
 
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?

Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!

Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.

Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa kwa udi na uvumba. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo wa kweli hawezi kufanya jambo kustajaabisha kama hili.

I'm so wonders kwakweli (kwa sauti ya Steve Nyerere).

PIA SOMA
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Mhhh nime sahau nilitaka kuandika nini.
Ila hawa wenzetu hawana uchungu
 
Back
Top Bottom