Tumebadilishana rasilimali za nchi na PhD?

Tumebadilishana rasilimali za nchi na PhD?

Kama hadi nyie kina kaka kuona mnaliona hilo, mnadhani DGIS wetu halioni..?? Mnadhani Intelligence service zetu hazitoi proper counselling and advice..?
Mengine hayapo kama hivyo mnavyoyaona.
 
Mzushi mkubwa wewe uliyejaa moyo wa chuki na wivu tu kama shetani. Kwanini usiweke hapa hiyo mikataba badala ya kuongea ngonjera zako hapa zisizo na UKWELI wala uhalisia? Kwani unafikiri Rais wetu ni mjinga kama ulivyo wewe ambaye siku zote ulishajaa chuki binafsi kwa Rais wetu?
 
😅😅😅😅😅😅kumekucha
 
Kama hadi nyie kina kaka kuona mnaliona hilo, mnadhani DGIS wetu halioni..?? Mnadhani Intelligence service zetu hazitoi proper counselling and advice..?
Mengine hayapo kama hivyo mnavyoyaona.
Nchi hii haina kitu kinachoitwa intelligence service, wapo watu wanaojiita usalama wa taifa na kazi yao ni kutumika na wanasiasa wa ccm na kutii amri za raisi aliyepo madarakani.
 
Nyuzi kama hizi moderator huwa mnakuwa busy na nini au kwa kuwa SACUL ni chawa hivyo akitukana katika comments zake inaswihi tu. Looh
 
Rushwa ina sura nyingi sana
======
Kwa maoni yangu....
Hizi degree sio tu inakuza sifa yake bali pia inatambua nafasi yake katika kuendeleza ukoloni mamboleo kupitia vitendo vya ufisadi wa kibiashara na kisiasa.
 
Akili ndogo inaendelea kutu cost kama taifa, mpaka aondoke madarakani huyu mwanamke atatuacha hatuna thamani yoyote zaidi ya kuhangaika kulipa madeni huku rasilimali zetu akiwa amezitoa kwa wageni, Samia amekuja kutuachia umaskini watanganyika.
Wakumlaumu ni Magufuli alifanya kosa kubwa sana.
 
Political hiyo degree inaweza kuwa her undoing. Narendra Modi alifikiri ataweza kubadili katiba ya India. Jana kapewa chemba za uso na sasa Kwa miaka mitano ataendesha nchi Kwa msaada wa vyama vishiriki.
Kura za maoni zilionesha kwamba atashinda viti 400 lakini imetokea tofauti. Wananchi sio wajinga kivile. Pia Nyakati za ulimwengu zilibadikika toka 2020. Hatuwezi kubadilishana vitu vyetu Kwa pipi kijiti.
 
Back
Top Bottom